Mikutano ya CHADEMA Mbeya inatia moyo kwa harakati za ukombozi....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
DSC00021.JPG DSC00024.JPG DSC00033.JPG DSC00038.JPG DSC00038.JPG DSC00038.JPG DSC00038.JPG


Huu ni mkutano wa Mbalizi...na kulikuwa na mvua kubwa sana..still watu walikaa kumsikiliza Rais wao Dr W.Slaa!! kwangu mimi trend hii ya mikutano ya Mbeya inaonyesha jinsi ambavyo CDM ni tegemeo la kizazi hiki na kijacho...Nadhani uimarishaji huu wa chama uendelee kwa nguvu Tanzania kote..kuanzia Taifa mpaka level ya familia...

Thanx wana Mbeya kwa kutuunga mkono,nawahaidi hatutawaangusha kamwe!!!
 
watu wa mbeya mmetutia moyo sanaa,,hongereni wakuu,
nilikuwa na mashaka kidogo hasa na watu wa mbalizi maana ndio ngome ya ccm
 
watu wa mbeya mmetutia moyo sanaa,,hongereni wakuu,
nilikuwa na mashaka kidogo hasa na watu wa mbalizi maana ndio ngome ya ccm

Watu wa Dar na wa kwenye keyboard ni masharobaro hii kitu hawawezi

Dar es salaam itakuwa ya CCM MILELE:nerd:
 
Ikulu ni mahali patakatifu,acheni kugeuza nyumba hii kuwa makazi ya Mafisi yale ya Ahadi,Mafisi papa.Nyumba hii iwe kimbilio la wote,kila mmoja ajisikie huru na raha kuingia.Leo kuinga ikulu kuonana na Rais mpaka ujulikane,ufahamike kwa Rais,labda alikufungulia hotel yako huko,sasa umekuja.Getini unampigia baba riz,ndio unaingia.Jamani!!! Wewe Dk.W.P.Slaa tukikupa nchi hautafanana na hawa?
 
Back
Top Bottom