Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Kifaranga kipi kati ya hivi Mbowe alivyovitaja ambavyo vitaongoza Jahazi lilotoboka la Chadema Wade, Zitto ama Mboyee
Umeitelekeza thread yako ya LIVE-CCM unakuja kuripoti thread nyingine. Eti watu elfu 10 tayari wameshafika King'ori wakati huo ilikuwa saa 11 asubuhi dah uongo mwingine tabu tupu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
wakuu nipop tengeru watu ni wengi sana na bado mkutano hujaanza chopa ya cdm haijaja so baki hapo hapo jf nitawajuza
 
Wamezoea kutia watu hasira ili watukane lakini hapa wamepiga chini. Ni technique za kijinga sana.


Usiwaze kaka,back to business..tuletee nyuzi, achana naye huyu jamaa..huenda ni Lusinde mwenyewe,achelewi kukutukana matusi ya nguoni.
 
Nassari amesamaliza kuhutubia na mkutano unahamia Tengeru.
 
gari la matangazo ya cdm lishafika eneo ka tukio kilichobaki ni kusubiri mbunge wetu nasari
 
Tulisha wazoea na mkwara yao ya kilodilofa, muulize slaa amesahau siku ile alivyowadanganya Wana Arusha wakeshe kushikiza Lema Atolewe Jela najua anakumbuka yaliyomkuta baada ya kuchezea kichapo kikali pamoja na kujificha chini ya Meza huku Kamanda wake Mbowe akikimbilia Hai na Lema wao kueendelea kusoteshwa Jela kubeba Mtondoo kwa wiki nzima; Chezea Dola wewe jaribuni muone
Dr. Slaa anasema kitendo chochote cha uchakachuaji kitapelekea Arumeru kuchimbika.
 
Mkakati wetu ni ushindi wa kishindo na methology zetu za ushindi hazizuiliki hivyo kesho mapemaa 4 usiku Sioi anatangazwa mshindi na tarehe 10/4/12 anaapishwa rasmi
Hawa wenye ID za uchaguzi ni kuachana nao baada ya kesho CCM kuangukia pua watarudia ID zao za zamani.
 
Mkakati wetu ni ushindi wa kishindo na methology zetu za ushindi hazizuiliki hivyo kesho mapemaa 4 usiku Sioi anatangazwa mshindi na tarehe 10/4/12 anaapishwa rasmi
Kama utakuwa ushindi halali hakuna shida mkuu, ila kama ni wa kuchakachua hakuna rangi mtaona.
 
Back
Top Bottom