Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Kamanda Mbowe anaunguruma kuwa Nasari amekwenda vijiji vyote 86 na kote huko wamemuahidi kumpa kura za kishindo.

Mungu saidia iwe hivyo..hawachelewi kubadilika hao wakiingiwa na ka-mdudu ka ubwabwa,kanga,pombe etc.
 
Mbowe anasema anasikitishwa sana na kauli za kibabe zinazotolewa na BMW.
Anasema kama leo BMW bado anaamini upinzani ni vifaranga basi asubiri 2015 vifaranga vitapoingia Ikulu.
 
Mkutano utatanguliwa na maandamano kutoka USA hadi Tengeru halafu ukiisha wanatoka Tengeru wanarudi USA.
Mnapoteza muda mnatoa watu USA kupeleka Tengeru then mnawatoa tena Tena Tengeru kuwarudisha USA ni uupuzi mtupu CDM mnafanya ndio mseme tumejaza watu kumbe wahudhuriaji ni wale wale. Leo mmeipata fresh kwani hadi sasa bado respond ya Raia ni 25% kazi mnayo
 
Kifaranga kipi kati ya hivi Mbowe alivyovitaja ambavyo vitaongoza Jahazi lilotoboka la Chadema Wade, Zitto ama Mboyee
Mbowe anasema anasikitishwa sana na kauli za kibabe zinazotolewa na BMW.
Anasema kama leo BMW bado anaamini upinzani ni vifaranga basi asubiri 2015 vifaranga vitapoingia Ikulu.
 
Nassari anasema kesho ni siku ya wajinga, hivyo Wameru kesho wanakwenda kuigeuza kuwa siku ya warevu.
 
Rev usijinyonge maana hakika utakwenda Jehanum, unao muda wa kutosha wa kufahamu ukweli uwe huru na kuiona nchi inayoongozwa na Upinzani ambao utaongozwa na CHADEMA. Yapo maisha baada ya kesho usijiumbie mambo mabaya. Mauti na uzima huwa katika uweza wa ulimi.
Umemaliza kila kitu. Hiyo injili ni mwake. Yeye si ni rev? Bac apime mwenyewe kuhusu hiyo zaburi bila shaka anaifahamu. Ndaga fijo baba,
 
dawa ya chadema imeshaiva kesho tunawanywesha hii hapa.

428717_10150566796663967_708568966_9065230_623097448_n.jpg
Maji marefu kazini, no wonder siku hii mnakimbili kwa wagagnga wa kienyeji kujinusuru.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Nassari serikali nzima imehamia Arumeru kisa yeye, yeye anasema nguvu ya umma ipo yake na ameanza na Mungu na atamaliza na Mungu.
 
Back
Top Bottom