Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

That's good move!
Kuna principle moja niisoma inasema hivi
"Tell them what you want to tell, tell them and tell them what you told them"
Ikimaanisha unapohutubia anza kwa kuwaambia nini unataka kuwaambia, waambie then waambie ulichowaambia.
Hii inafanana na hii ya CDM kwamba walifungua kwa television, wakafanya mikutano kuelezea zaidi na mwisho wanawakumbusha walichokuwa wakiwaambia kupitia mikutano yao.
 
taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa mkutano wa kufunga kampeni utaoneshwa moja kwa moja na star tv pamoja na itv. Habari hii imedhibitishwa na m/kiti chadema wilaya ya kahama aliyoko arumeru bwana juma
asante sana kwa taarifa mkuu!
 
Taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa mkutano wa kufunga kampeni utaoneshwa moja kwa moja na star tv pamoja na itv. habari hii imedhibitishwa na M/Kiti Chadema wilaya ya kahama aliyoko Arumeru bwana Juma

CHADEMA wapite na magari wawatangazie wana Arumeru wale wasioweza kufika mkutanoni waangalie kupitia kwenye hizo TV. Sisi Huku nje ya Jimbo hata tukiangalia hatuna effect yoyote kwenye masanduku ya Kura.
 
Wana Arumeru, tumesha sikiliza sera. Tukumbuke kuna kusikiliza na kuelewa, ni matumaini yangu kwamba tumesikiliza na tumeelewa twende kwa nia moja tukachague kiongozi(Mbunge) atakaye leta maendeleo. Tukumbuke matatizo makubwa tuliyo nayo; Ardhi, Maji, pamoja na Barabara mbuvu. Tuelekee kwenye vituo vya kupigia kura na mtazamo chanya, tukafanye mapinduzi ya kweli.
 
patandi uwanjani pameanza kujaa,
njiapanda ya kuingia patandi kuna umati unasubiria kwa hamu.nimepata few pics.
Barabarani kuna hamasa ya bibi kizee anayeonyesha v
 
patandi uwanjani pameanza kujaa,
njiapanda ya kuingia patandi kuna umati unasubiria kwa hamu.nipeta few pics.
Barabarani kuna hamasa ya bibi kizee anayeonyesha v
weka picha ilitupate kinachoendlea sehemu husika...
 
patandi uwanjani pameanza kujaa, njiapanda ya kuingia patandi kuna umati unasubiria kwa hamu.nipeta few pics. Barabarani kuna hamasa ya bibi kizee anayeonyesha v
Wakuu mkutano umeanzia usa river na kumalizia tengeru. Kulikuwa na mabadiliko kidogo
 
Kamanda Mbowe anaunguruma kuwa Nasari amekwenda vijiji vyote 86 na kote huko wamemuahidi kumpa kura za kishindo.
 
dawa ya chadema imeshaiva kesho tunawanywesha hii hapa.

428717_10150566796663967_708568966_9065230_623097448_n.jpg
 
Updates:
Slaa atoa tuhuma nzito kuwa leo katika hotel Snow Cret kulikuwa na mkutano kati ya tume na CCM ili kuona jinsi ya kuokoa jahazi.

Vicent Nyerere anasema Wameru wanatatizo moja tu, tatizo lao ni pale wanaponyang'anywa haki haki yao. Anasema haki yao ni Nasari.

WanaJF nitakuwa live kuwaletea bila chenga yatayojiri katika mikutano ya kufunga kampeni ya jimbo la Arumeru. Hivi sasa mambo yanaendelea kwa kuwapika mawakala eneo la USA.
Vitendea kazi vipo vya kutosha kwa ajili ya picha na videos.

Stay tuned,
Uchakachuaji ukitokea hapo kesho Arumeru itageuka battle ground.
 
Back
Top Bottom