Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa mkutano wa kufunga kampeni utaoneshwa moja kwa moja na star tv pamoja na itv. habari hii imedhibitishwa na M/Kiti Chadema wilaya ya kahama aliyoko Arumeru bwana Juma
 
nipo hapa maeneo ya tengeru kuna umati uko barabarani unasubiri msafara wa cdm.
 
Chadema wakishinda najinyonga makamanda.

Rev usijinyonge maana hakika utakwenda Jehanum, unao muda wa kutosha wa kufahamu ukweli uwe huru na kuiona nchi inayoongozwa na Upinzani ambao utaongozwa na CHADEMA. Yapo maisha baada ya kesho usijiumbie mambo mabaya. Mauti na uzima huwa katika uweza wa ulimi.
 
Back
Top Bottom