Mikorogo makorokocho usoni mwa mama zetu

kweli vidume mnahusika, kuna siku nimesikia wimbo mipasho eti hapa town eti kama hujaweka lace wig na kupaka mijirangi na mkorogo hutongozwi.....!?!?!? sasa matokeo ndio hayo! Matiti ya kichina yanapandishwa na sidiria na ****** ya kichina yanatingishwaje huko mtaani!!!
Yana ukweli haya jamani?!?!?!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom