mikopo ya wanafunzi elimu ya juu

maoniyangu

Member
Jul 9, 2011
53
4
wanafunzi wa elimu ya juu walitoa madai ya msingi ya kuongezwa kwa hela ya chakula na malazi (boom) kutoka sh5000 mpaka sh 10000. serikali imetoa sh 7500 hela hii bado haitoshi ukizingatia upandaji wa garama za maisha. je wanafunzi wa vyuo vikuu wakigoma wataonekana wakorofi?
 
Tena wagome tu nami nawaunga mkono
 
Back
Top Bottom