Mikopo kwa wanafunzi wa medicine

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Jamani is it true kuwa mikopo/grant kwa wanafunzi wa medicine huwa ni 100%. Nauliza hivyo maana private medical schools zina bei kubwa sasa wanatoa hela yote au wana sealing.
 
ninachojua ni kwamba wanakupa ile waliolist kwenye guide book ambayo kwao ni asilimia mia mfano kariuki ada ni 5 million na serekali haiwezi kukulipia ada yote so wanakupa 2 mills ambazo ni sawa na yule atakaesoma muhas akipewa asilimia 100 xo hizo nyingine utatop up mwenyewe
 
Asante sana. Kazi ipo atakufa mtu
 
kama umechaguliwa MD,DDS,BVM,pharmacy,nursing,irrigation engineering na education ya science na mathematics guarantee mkopo 100% ila kwa private institutes ceiling ni 2.6mil na grant ni kwa MD,DDS na BVM!
 
Hapo kwenye ruzuku inakuaje mkuu embu nifafanulie nielewe...
 
Ruzuku ndio grant nayo kupata lazima uwe umechaguliwa kozi hizi tatu MD,DDS na BVM ila lazima uwe umepata an outstanding perfomance of division 1&2 at A- level ila application zake bado hazijatangazwa!
 
Kwa uelewa wangu mkuu naona kama loan kwa hawa wa MD,DDs na BVM ndo huwa wana consider kama grants (ruzuku) si dhani kama kuna application ya hizo grants mkuu
 
Wengine hatujui haya mambo, ruzuku ni nini? Najua huwa kuna hela ya kujikimu-kula , pango. Hiyo inatolewa kwa vigezo gani? Tafadhali
 
ruzuku mkuu huwa hairudishwi kama loan ambavyo heslb wataendelea kukudai..

Asante sana kwa taarifa, huwa ni kiasi gani na wanatumia vigezo vipi? Mfano CUHAS naona ni 540,000 pango kwa mwaka wanatoa kisi gani out of these?
 
Kwa uelewa wangu mkuu naona kama loan kwa hawa wa MD,DDs na BVM ndo huwa wana consider kama grants (ruzuku) si dhani kama kuna application ya hizo grants mkuu

Ukisoma guidline and criteria za issuance of grants and loans wanasema application za grantz zitatangazwa sometime in july na mpaka sasa bado,fuatilia uone!
 
Dah hiyo siko aware nayo sana ila kama ulivyosema kwamba wale wenye 1 na 2 ndo huwa wanapataga mfano pale muhas ambapo huwa wanachagua cream hao huwa wanachukua grants sijui kwa vyuo vingine vya medicine..
 
Grants wanatoa heslb na wanatoa kila kitu except hela za accomodation na ni lazima ukimaliza chuo ufanye kazi govt miaka 5
 
Back
Top Bottom