mikopo kwa ajili ya kilimo hii yawez kuwasaidia wale wenye mawazo kufanya kilimo

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,711
4,641
ugumu wa upatikanji wa ajira ukizidi kuwaandama vijana wengi nchini kilimo pekee kinabaki kuwa kimbilio lakini kilimo bila mikopo ni ngumu,........................maana vijana hawategemei kulima kwa majembe ya mikono hapa chini kina link kadhaa za NGOs zinazotoa mikopo rahisi kwa vijana katika kilimo this is the link

www.difining2morrow.blogspot.com
 
Shukrani. Ila nimeona grants ni kwa institution level ukizijua zinazotoa at the level of individual tuambie tafadhali
 
Back
Top Bottom