Mikopo kufika vyuoni kuanzia juma hili

Mbute na chai

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
523
525
Kwa mujibu wa gazeti la nipashe la hii leo 25/09/2012, bodi ya mikopo yatamka mikopo kuanza kupelekwa vyuoni kuanzia wiki hii. Habari njema bt wishing you financial discipline in expenditure of your loans.
 
Mtasubiri saaana,mtasikia mara ooh mchakato unaendelea,mara ooh hili tatzo tunalshughulikia,mara ooo tunafanya logistics!.Bongo c ya matumaini mpaka ujionee mwenyewe.Mtaniambia itakavyokuwa!
 
Now this is what we want a clear information
 
Mtasubiri saaana,mtasikia mara ooh mchakato unaendelea,mara ooh hili tatzo tunalshughulikia,mara ooo tunafanya logistics!.Bongo c ya matumaini mpaka ujionee mwenyewe.Mtaniambia itakavyokuwa!

Kwa niaba ya ya first year nasema Akhsante kwa mchango wako
 
Mtasubiri saaana,mtasikia mara ooh mchakato unaendelea,mara ooh hili tatzo tunalshughulikia,mara ooo tunafanya logistics!.Bongo c ya matumaini mpaka ujionee mwenyewe.Mtaniambia itakavyokuwa!

hahahahahahahahahahahahah!!ngoja ninunue walet
 
Sidhani kama fedha ya serikali inagawiwa kama njugu.Vigezo na masharti kuzingatiwa. Itawabidi wanafunzi kusajiriwa kwanza vyuoni na hatimaye kusaini vocha za malipo.It takes time!
 
Mtasubiri saaana,mtasikia mara ooh mchakato unaendelea,mara ooh hili tatzo tunalshughulikia,mara ooo tunafanya logistics!.Bongo c ya matumaini mpaka ujionee mwenyewe.Mtaniambia itakavyokuwa!

na nyie iliwatokea vivyo hivyo
 
Back
Top Bottom