mikopo kuanzia mil.10 mpaka billion 2 inapatikana

Natoa mikopo kuanzia milioni 10 mpaka bilioni 2 , kwa mawasiliano piga namba 0716632593

Mkuu nadhani upo kwenye biashara, namaanisha ukikopesha unategemea upate faida.
sasa Tangazo kama hili uliloliweka unategemea kupata watu kweli?,

Kama una muda wa kuweka tangazo kwa nini usiweke kitu ambacho kitamvutia mtu kukupigia simu?, kama ni shida kuandika muda huu, kwa nini usiandike vizuri na ukaja kuiattach tu hapa

Mara nyingi unachokiandika kinareflect jinsi ulivyo/ama organization yako ilivyo

hebu rudi tena na edit hiyo post yako kwa kuweka Detailz (Riba, ukikopa unaanza kukatwa baada ya muda gani, dhamana zinazohitajika nk) ili tuvutike kuja kukopa
 
Post ya tatu,mkopo bilioni 2 na numba ya mobile tu bila maelezo zaidi!!!
 
Billykelly, au unatutania mkuu? Watu tuna kiu ya kujikwamua, tafadhali be serious. Jibu basi hizo hoja ndugu.
 
Usanii tuuu,, hakuna mtu anayeweza kutoa bilioni moja atakayeweza andika kitu kama ulichoweka hapa,, kama kweli unatoa hiyo hela inawezekana hujaitolea jasho ni hela haramu unataka kuisafisha..
 
Unatoa kama nani? Wewe ni bank, financial institution, Finca, easy finance, credits organization au una kampuni ya kutoa mikopo iliyosajiliwa na kutambulika? Haiwezakani ukawa unatoa mikopo wewe kama wewe mpaka bil 2 labda ziwe ni hela haramu unataka kuzisafisha. Benki wenyewe kukupa mil 100 ni shida hata kama unasecurity achilia hiyo bil 2.
Inawezekana umeandika tu kwa kujifurahisha na kutaka kuwapotezea watu muda, lakini someone serious in business angetoa detailz zaidi ili watu waelewe, kwanza ulivyoandika unaonekana hauna hata hiyo taaluma ya masuala ya mikopo!
 
guys ...lets give this chap a chance to prove it and someone has to extract a testimonial on this matter .... i hope we have the contacts and something will be proved so ....
 
Back
Top Bottom