Mikono yote miwili..

Nov 23, 2011
12
3
Jamaa alikatika mkono 1,Baada ya kuona MAISHA yanazidi kuwa magumu, akapanda ghorofani ili ajitupe chini. Kabla hajajitupa akamwona mtu hana mikono yote akiruka kwa furaha akamwuliza, "Mbona unaruka kwa furaha wkt huna mikono yote?" Jamaa akamjibu, "Furaha wapi? Hapa ****** unawasha nashindwa kujikuna!"
 
Hii sio ngeni humu jukwaani. Ipo kitambo. Imechacha.
 
Back
Top Bottom