Mikono ya Aron Kisaka wa Sumatra, imejaa damu ya ajali za barabarani

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Kila siku tuna lalamika kuhusu ajali barabarani, na sumatra wanakuwa wanajitetea eti ni mwendo kasi wa dreva.
Huo ni uongo mkubwa.
Vifo vya barabani hasa vinavyo sababishwa na magari makubwa, maroli na mabasi ni uzembe na ubadhilifu ndani ya sumatra.
mumiriki wa basi au roli haruhusiwi kupewa reseni bila kuonyesha mkataba wa dreva, but matajiri wamekuwa wakipeleka mikataba fake ya madreva ili wapate reseni, wakishapata wanaenda kuokoteza madreva wasio na sifa kwa ujira mdogo. sumatra wanaangalia tu.
 
Back
Top Bottom