selestin john
Member
- Jan 20, 2012
- 67
- 8
asubuhi sanaaa dingi mmoja m2 mzima anaoneka kushikwa na hasira sana huku mkono wa kulia kashika furushi la bakora na kushoto kamshika kuku,mara jirani yake anatokea na kumkuta katika hali hiyo ikabidi amuulize kulikoni mwenzangu kuku mkononi na mibakora yule mzee akamjibu"yaani we acha 2 huyu kuku anapenda sana ujana yaani hataki kutamia kabisa mayai yake kwa sababu ya mapenzi kajaa umalaya mtupu hakuna jogoo hapa mtaani kwe2 asiyemchenga huyu,nataka nimuadabishe.