Mikocheni yawaka moto

Masa, tusimpe umaarufu mchawi mazee, tumuangalie na huyu mama... mbona anawahi kwenye vijarida akiwa na mambo yanayohusu uchwi wakati haji mbele ya jamii kwa yale mengine mema kama kusaidia masikini?
MTM shida ni dini tu ndio inawasumbua hata hamfuatilii vizuri habari ya mama huyu?
Hata kama anashida nyingine, sijui. lakini ninachojua huyu mama amekuwa akisomesha yatima na wasiojiweza wengi tu, tena bure, katika shule zake za st Mary's.
Sasa mema mengine ya kijamii unayotaka ni yapi?
Yamkini hata kumleta huyo mchawi kutoka katika mkono ya shetani kuja kwa Mungu kupitia Yesu Kristo ni jema!
Mengine ni chuki zenu tu za dini wala haziwasaidii kitu. Na kama ulikuwa mteja wa huyo mganga umeliwa maana tayari kesha waacha njia panda.
 
Ustaadh Hamisi Sued au Dr. Mgurumbe huyo ndi Shehe mwenye mazingaombwe na kuacha manyanga bana.

Thread hii ilipowekwa tu, nialiamini patatokea watu wenye upungufu wa bongo kama huyu!! Hivi nyinyi watu mbona mna fikra mbovu za udini vichwani mwenu namna hii? sasa suala la ustaadh, au shehe limetokea wapi hapo?! mkiambiwa yesu sio mungu unapiga kelele wakati ujinga mnaanzishaga wenyewe.
 
ngoja niwaache wafu wazike wafu wao...
 
Wewe nawe una matatizo makubwa na dini yako ya kishetani ya Ukatoliki. Unajua hao watoto walipoachiwa nini kilitokea? Fuatilia vizuri .

Wagalatia Mmeamua kutukanana wenyewe kwa wenyewe sasa!!! nina wasiwasi hata aliyeweka hii thread nae alisukumwa na ushabiki wa kidini!!! punguzeni udini nyie watu
 
MTM shida ni dini tu ndio inawasumbua hata hamfuatilii vizuri habari ya mama huyu?
Hata kama anashida nyingine, sijui. lakini ninachojua huyu mama amekuwa akisomesha yatima na wasiojiweza wengi tu, tena bure, katika shule zake za st Mary's.
Sasa mema mengine ya kijamii unayotaka ni yapi?
Yamkini hata kumleta huyo mchawi kutoka katika mkono ya shetani kuja kwa Mungu kupitia Yesu Kristo ni jema!
Mengine ni chuki zenu tu za dini wala haziwasaidii kitu. Na kama ulikuwa mteja wa huyo mganga umeliwa maana tayari kesha waacha njia panda.

Mkuu nadhani umepotoka!!! Sijui umejuaje mimi nina chuki na huyu mama... na kama umesoma post yangu nimesema very clearly kwamba mbona ana misaada mingi sana kwa jamii kwanini asilete kwenye vijijarida, kwanini alete ya uchawi tu???

Mkuu jaribu sana kuwa na neutral mind kabla hujapost tuhuma zako, sina chuki na huyu mama kwani haina mashiko kwangu

Na hilo la kusema kwamba nilikuwa mteja wa huyo mganga manayake kwamba mimi nafuata hayo ya kishirikina ,.. nadhani kwa hili nahitaji apology!!! Si kwamba siwezi lugha uliyoweka ila nadhani you are better than that!!!!

You can hate fisadis, but dont hate others simply because you have your own vendetta

I remain MTM
 
Masa, tusimpe umaarufu mchawi mazee, tumuangalie na huyu mama... mbona anawahi kwenye vijarida akiwa na mambo yanayohusu uchwi wakati haji mbele ya jamii kwa yale mengine mema kama kusaidia masikini?

Ndugu yangu mchukia fisadi, this is what i wrote, kwahiyo piecemeal huwa hazina mashiko katika majadiliano

Nimemaind!!
 
Utawagundua tu wanaoshabikia wachawi. 'Tools' za mchawi zinachomwa lakini badala ya watu kufurahia, wanaanza kumshambulia anayezichoma!
 
Nimesikitika kuwa wengi ya wachangiaji hapa hawajui walisemalo kwakuwa ulimwengu wao wa kimwili umetawala sana ulimwengu wao wa kiroho kitu ambacho ni udhaifu mkubwa. Poleni sana ila kuna siku mtafunguka macho na masikio.

This quatation is very useful
Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda (Mithali 3:27)
 
Mama Rwekatare ni mfanya biashara tu na msanii hana jipya zaidi ya kuwavutia watu kibiashara.

Hakuna nini wala nini ni kiinimacho tu na mambo ya kutunga ili nae aaminike na kunufaika kibiashara.

Hivi kali kuna mtume mwanamke? tuambieni watu wa Yesu kuna mtume yoyote mwanamke kwenye kitabu chenu?

wajinga ndio waliwao.
 
mie nilivyomuona yule jama nikajiuliza je alitoka nyumbani amevaa vile na matunguli yake kutoka kipawa hadi mikocheni na je alitumia usafiri gani? na je aliyapita makanisa mangapi hadi aende mikocheni? nifahamishe wandugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom