Mikoba ya Kina dada ina Mambo!

Rev.......... huu ugonjwa wa moyo, seriously mm i will inspect her tigo carefully, kama imeliwa lazima nitajua, na kuchunguza mikoba ya akina mama that is good move, ili kuwajua maana hii hatari, K-Y this is special for O, mmmmmmmhhhhhh yaweeeeeee tayari kapigwa poooool, kaahh mm ningemwuita na kumwenyesha na kumchunguza O, how ilivyo liwa, inauma......

ha ha ha ukikuta imetumika saaaaana utafanyaje ?
 
Mke alikuwa anampima tu jamaa, sidhani kama kweli anacheat ataacha evidence nje nje hivyo. Mwambie jamaa asipate presha.
 
[/COLOR]

ha ha ha ukikuta imetumika saaaaana utafanyaje ?

Naiendeleza maana nadhani ndio anapenda, nitamwuliza, kisha naendeleza, maana ndio utamu wake anaposikia, that is a practical solution, mwanamke aliyezoea tigo, hata umle voda namna gani hasikii, O balaa, so lazima umridhishe, usipofanya hivyo atakuita mshamba, uliza utaambiwa, i am serious
 
Achana na akina mama aisee...ni watu wa siri sana na wanajua sana kucheza na maneno na nyakati pia...

ANGALIZO KWA WANAUME JAMANI...JARIBUNI KUWAHOJI WAKE, MARAFIKI ZENU WA KIKE PALE UNAPOSUSPECT KITU, MAANA KUKAA KIMYA NI MBAYA SANA HASA KWA WATU AMBAO MANAISHI WAWILI MPAKA KUFA.... USIRI USIWEPO PALE UNAPOKUWA NA WASI WASI NA KITU KWA MWENZIO.......HILI PIA LINA-APPLY HATA KWA MWANAMKE....

Nawasilisha..
 
Wife siku hiyo alimletea mmewe wajaribu hako ka mchezo.
Na hizo condom ili azuie mimba maana siku hiyo ilikuwa ni danger zone.
 
ANGALIZO KWA WANAUME JAMANI...JARIBUNI KUWAHOJI WAKE, MARAFIKI ZENU WA KIKE PALE UNAPOSUSPECT KITU, MAANA KUKAA KIMYA NI MBAYA SANA HASA KWA WATU AMBAO MANAISHI WAWILI MPAKA KUFA.... USIRI USIWEPO PALE UNAPOKUWA NA WASI WASI NA KITU KWA MWENZIO.......HILI PIA LINA-APPLY HATA KWA MWANAMKE....

Nawasilisha..

ushauri mzuri.
 
Achana na akina mama aisee...ni watu wa siri sana na wanajua sana kucheza na maneno na nyakati pia...

ANGALIZO KWA WANAUME JAMANI...JARIBUNI KUWAHOJI WAKE, MARAFIKI ZENU WA KIKE PALE UNAPOSUSPECT KITU, MAANA KUKAA KIMYA NI MBAYA SANA HASA KWA WATU AMBAO MANAISHI WAWILI MPAKA KUFA.... USIRI USIWEPO PALE UNAPOKUWA NA WASI WASI NA KITU KWA MWENZIO.......HILI PIA LINA-APPLY HATA KWA MWANAMKE....

Nawasilisha..

Asante mie condom hainipi taabu sana ningemuuliza tu hiyo K.Y jelly inafanya nini humo? baaaasiii! Pia ningeomba anifafanulie kwa uelewa wake inavyotumika
 
Na atakavyovikuta ni vya kwake pia...:teeth::teeth::teeth:
kwanza unatakiwa uwe na communication na mkeo,angeuliza kwa upole labda mkewe anataka kufanya mautundu mapya kitandani...amechoka kila siku kutumia voda,unajuaje?...ameleta 'zana'...za kutumia...LOL:teeth::teeth:,majibu kwa kweli anayo huyo mwanamke...hapa tutafanya guesswork...ambayo nadhani wengi wetu watamuhukumu tu bureee...

Nimependa vile unavyomudu kubuni hoja za kupangua hii kesi. I wonder kama umeolewa au utakapoolewa mumeo atakukamatia wapi?
 
Achana na akina mama aisee...ni watu wa siri sana na wanajua sana kucheza na maneno na nyakati pia...

ANGALIZO KWA WANAUME JAMANI...JARIBUNI KUWAHOJI WAKE, MARAFIKI ZENU WA KIKE PALE UNAPOSUSPECT KITU, MAANA KUKAA KIMYA NI MBAYA SANA HASA KWA WATU AMBAO MANAISHI WAWILI MPAKA KUFA.... USIRI USIWEPO PALE UNAPOKUWA NA WASI WASI NA KITU KWA MWENZIO.......HILI PIA LINA-APPLY HATA KWA MWANAMKE....

Nawasilisha..

Nakubaliana na wewe mama... Ila wanandoa wakumbuke bora kuzuia kuliko kutibu. Kabla hujaanza kutibu kwa kuhoji, bora uzuie kwa kutomchunguza sana mwenzio...
 
Mzee mzima yuko sebuleni anafatilia hotuba ya Kikwete kwenye ufunguzi wa bunge akiona live wabunge wa CHADEMA wakitoka ukumbini. Mkewe alikuwa jikoni akisaidia na msichana wa kazi kuandaa maakuli ya familia. Mkoba wa mkewe ulikuwa sebuleni basi akaamua kuangalia ndani, alichokuta kilikuwa ni mambo ya kushangaza, K.Y jelly tube, condoms na vipodozi kadhaa wa kadhaa na pesa nyingi tu. Alishindwa kujizuia akashindwa muuliza mkewe. Hajawahi tumia condom wala K.Y Jelly na mkewe. Anadai wanamapenzi ya dhati hajawahi msuspect mkewe. Hili nimeshtua anaomba ushauri jamani. Uaminifu na mapenzi yamepungua hata mkewe kamshitukia.

Ushauri jamani!

Alikosea....si vizuri kupekenyua mkoba au simu ya mwenzi wako...jamaa yangu mmoja aliwahi kufanya hivyo akakuta Nyundo na kisu vyote vikiwa na damu...hakulala nyumbani wiki kwa hofu
 
Hahahahaah either wewe ni mdogo haya mambo huyajui! Inakera zaidi kuuliza kitu kilicho obvious. Huyo mama atakataa huenda hata akalianzisha umemwekea, mkaishia kuingia kwenye domestic abuse. Nadhani njia sahihi ni huyo bro kwenda naye kucheat na aje amevaa G-string ya kidosho wake. Hakuna kuulizana

hiyo ndoa itakuwa imeshajifarikia cku nyingi....watu hawaoi wanajidai tu wengine hawajui haya mambo vzr, khaa hakuna cha ndoa wala nn kila mtu ana cri zake binafc, na zinabakia binafc(kwangu mie).... mwanamke anaecheza rafu na kukamatwa ni " mpuuzi" wa mwisho, bora usicheze kabisa, utawekaje hayo madude kwenye handbag? halafu unaibwaga tu hapo waaahhh...mjinga huyu....
 
  • unatakiwa umjue mkeo kabla hujaoa,kuvikuta hivyo vitu haimaanishi infidelity imetake place.....labda amepewa amshikie mtu unajuaje???LOL:redfaces:
Fab....hakunaga kujuana mkiwa bfnd/gfnd/uchumba....hata mkikaa miaka 10 hamtajuana kiundani, subiria muanze kujambiana kwenye mablanketi ndio kila mtu atamjua kumbe huyu c wa njano bali wa pink....hii sector haitabiriki jamani, na hakuna anayoenda nayo sawa 100%, kuna raha na karaha za kumwaga.
 
Ayaaaaa weeeee tayari keshamegewa huyo. KY na rubber za nini?

Dawa hapo ni yeye naye kuanza kumega nje kama bado hajafanya hivyo.

This is one of the reasons why I subscribe to the principle of 'when in a relationship, cheat first'.....so even if you come to find out later that your significant other has been creepin' on you, hey it won't bother you much coz you got her first.....

But in there is no trust in this world. Trust is just a myth....
I agree with you...always be defensive au vipi!!
 
Fab....hakunaga kujuana mkiwa bfnd/gfnd/uchumba....hata mkikaa miaka 10 hamtajuana kiundani, subiria muanze kujambiana kwenye mablanketi ndio kila mtu atamjua kumbe huyu c wa njano bali wa pink....hii sector haitabiriki jamani, na hakuna anayoenda nayo sawa 100%, kuna raha na karaha za kumwaga.

hii ni kweli kabisa!Nadhani kwa upande wenu nyinyi wakina daa hii maneno ndo inaapply sana, kipindi cha uchumba mnafanana kama watakatifu, baada ya ndoa balaa linaanza!
 
Asimuulize kitu huyo,aendelee kumchunguza,kama an cheat ipo siku atajisahau tena.

na kwa huyu mwanamke nilivyomuona yupo yupo tu hata haitachukua muda atakamatika....wakina dada/mama kama hamuwezi hizi game bora muachie wenye fani zao, iwe vyo vyote iwavyo, ni vyake ni vya nani lakini hakutakiwa kumweka hubby kwenye wac wac nae wa hali ya juu kiac hiki, hapo hata kama vp hubby hatakuwa na imani nae tena, kama alikuwa anafanya kwa kujificha ataanza ya kuonekana kabisa...
 
hii ni kweli kabisa!Nadhani kwa upande wenu nyinyi wakina daa hii maneno ndo inaapply sana, kipindi cha uchumba mnafanana kama watakatifu, baada ya ndoa balaa linaanza!

Bacha....hapo hakunaga mwanaume/mwanamke....ngoma droo, ila naogopaga wanaume wapole....ndio funga kazi hao!....bora umpate yule chakaramu chakaramu fulani, wale wa kuinamisha shingo...pweehhh wengi wa ma frnd zangu wamelizwa sana.
 
Asante mie condom hainipi taabu sana ningemuuliza tu hiyo K.Y jelly inafanya nini humo? baaaasiii! Pia ningeomba anifafanulie kwa uelewa wake inavyotumika
K.Y jelly HIII YA NINI SASA??
 
Alikosea....si vizuri kupekenyua mkoba au simu ya mwenzi wako...jamaa yangu mmoja aliwahi kufanya hivyo akakuta Nyundo na kisu vyote vikiwa na damu...hakulala nyumbani wiki kwa hofu

haya maisha bwana...kuna wakati tu mtu unajikuta una kiherehere cha kufanya kitu....ndio yanatokea ya kutokea......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom