Mikoani jf tabu tupu..

Nilishapiga mwezi mzima hapo ila ujiji semegi yangu nilipapenda sana kuliko Mwanga na Kigoma town kule Uhindini .
Ujiji pako kihistoria zaidi, majengo ya kale mengi hayajabadilishwa.

Shem..sio mbali na mjini??!
Yani it was a nice coincidence..naingia Kigoma af ndo mara ya kwanza nalisikia lisongi la kigomAllStars..Leka dutigite...still replaying it.
 
Kitu cha Kigoma icho...
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1342002073447.jpg
    uploadfromtaptalk1342002073447.jpg
    63 KB · Views: 28
Karibuni meatu huku
Jua kali na joto kama kawaida
Erickb52 najua wewe hata hapo mjini hujawahi toka
Karibu huku tule ugali wa mtama
Hahahaaaaa Mr Rocky aisee umekwenda kufanyaje wewe?
Lol nakuja mkuu tena mwaandaaji mwambie aandae mkubwa sana coz napenda sana ugali
 
Last edited by a moderator:
Naenda kusema kwa dada..kusemaa...

Kauka basi ! Ntakua sikununulii mishkaki !
Ohooo!
Hebu sema nae huyu BT anatusumbua sana Chtcht!
Mara atuvalie bana- nyonyo ile ya Aisha Mashauzi!
Mtoto anavitukoje?
Semea tu shemeji yako sina macho ya nje kama Erick52 !
Nna macho ya ndani kwa Beibe baaaas!
Nnautunza mshumaa wake kiukweee.
 
Judgement, huo mshumaa ukiwashwa, hauyeyuki au ndo hauwaki kabisa?
 
Last edited by a moderator:
Kua uyaone si maghorofa ndiyo hayo ya KIGOMA. Toka Mbeya~Arusha kwa basi unafika siku hiyo hiyo si Kigoma!
 
Kua uyaone si maghorofa ndiyo hayo ya KIGOMA. Toka Mbeya~Arusha kwa basi unafika siku hiyo hiyo si Kigoma!

Hehe na kweli aisee...apa nafikiria safari ya kurudi bongo wikend..eti kuna kulala njian sijui ndo Singida sijui Dodoma..choka kabisa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom