Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
Hebu nipeni losti wadau ila nadhani Dar inaongoza. Kila sehemu niendako nakutana na lundo la machangudoa.
hamna mkoa uliosalimika kwa hili hata Pemba siku hizi wapo.Hebu nipeni losti wadau ila nadhani Dar inaongoza. Kila sehemu niendako nakutana na lundo la machangudoa.
dar ni mji mgumu sna kimaisha ndomana umeweza kuwaona ila kuna sehemu ninoma sema mpaka uwe na macho ya choro km zenj mombasa .tanga.iringaHebu nipeni losti wadau ila nadhani Dar inaongoza. Kila sehemu niendako nakutana na lundo la machangudoa.
Labda we sio mzoefu sehemu zote ulizotaja mambo nje nje.dar ni mji mgumu sna kimaisha ndomana umeweza kuwaona ila kuna sehemu ninoma sema mpaka uwe na macho ya choro km zenj mombasa .tanga.iringa
arusha na kilimanjaro
Hebu nipeni losti wadau ila nadhani Dar inaongoza. Kila sehemu niendako nakutana na lundo la machangudoa.
kilimanjaro(Moshi)
mi nlidhani huko wanasifika kwa wizi tu, kumbe na kuvua vyupi hawajambo?
Lkn mada nyingine jamani cjui watu wamechoka kutoa mada za ujenzi wa taifa? kwanini tusiwajadili hata mawaziri basi utendaji wao,tujadili ufidi kama bandarini, TRA, ujambazi, ajali za barabarani, mwl. Nyerere na utendaji wake, Shein je ataifikisha wapi zenj, je zanzibar unadhani umjoa wa kitaifa utaobadili TZ kwa ujumla wake? je mwl Seif ataisaidia zanzibar au longolongo? je mafuta na gas inafaa kuwa mambo ya muungano? je utakatifu wa rais na mengine aliyosema yafaa kuachwa au tuyajadili hata kama tume inayahodhi? je Tanganyika yetu irudi au tubaki na TZ? nadhani kama tutaamua kuyajadlil haya mojamoja tutaiwezesha nchi yetu kuwa mbali, lkn bado asubuhi tuanzungumzia mambo yasiyo tija, nisawa na kusema aa! yule jama noma, anakunywa mizinga miwili bila maji au soda,lkn hujui anajifia mwenyewe nakuwaachia wanawe uyatimaa?
Let us takl the Hard talks 4 the future of ours.