Mikoa gani watu wao wanaishi kwa furaha Tanzania

Kigoma ndio wanaraha- manake maambukizo ya ukimwi yako chini na wanahakika ya kusupply labour force for the future
 
ahsante sana mwanzisha thread hii na wachangiaji wote maana mmenifanya kuwa na wakati mzuri sana kwa kicheko. Vipi kuhusu Morogoro na Ruvuma?
 
Tabora wamekubali matatizo na kufunga ndoa na magamba ndiyo maana mkoa mzima wabunge ni wa-magamba na madiwani ni zaidi ya 95%magambaz!!Nyuma kwa kila kitu na mpaka sasa hakuna barabara ya lami ambayo angalau inaunganisha wilaya moja na nyingine achilia mbali ya mkoa na mkoa!!
 
Furaha ni nini kwako? Ukisha tueleza fasili ya furaha then tutapata majibu . Kitu kinacho kufurahisha wewe si lazima kinifurahishe na mimi.
 
Back
Top Bottom