Mikoa au Kabila lenye wanawake warembo/wazuri Tanzania

Kwa utafiti wangu,hii ndo list ya mikoa kumi yenye totoz za ukweli na asilimia zake kwenye mabano
1.Tanga-87%
2.mwanza-82%
3.dar-78%
4.dodoma-76%
5.arusha-73%
6.mara-70%
7.morogoro-66%
8.kilimanjaro-65
9.tabora-59%
10.shinyanga-51%

Hujatenda Haki Kwa Mkoa Wa Mara Na Nadhani Ulitakiwa Uwe Ni Wa Kwanza au Wa Pili Tu Na Siyo Nafasi Hiyo Ya Sita Kama Ulivyoweka.
 
Tupo kizazi cha tamaa hivi huoni warembo wanazailiwa daily utapenda wangapi wewe wa kukurupuka?!! poa tukusaidie kigezo mojawapo be beauty at 20 age, successful at 30 age wiser at
age of 40 short of that you can't be!!!!!

Mkuu nachelea kusema "umekurupuka", hebu soma tena halafu elewa vizuri kimombo,kisha nadhani utaelewa nilichomaanisha.
 
Mkuu nachelea kusema "umekurupuka", hebu soma tena halafu elewa vizuri kimombo,kisha nadhani utaelewa nilichomaanisha.

xiexie=shishe=ahsante-we lazima unafanya startimes...na jina lako ni.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Zanzibar sio bongo?
Bcoz nijuavyo mie uzuri wa mwanamke unaanzia kwenye sauti yake.
Jee kuna wanawake wenye sauti tamu zaidi wa wazenji mixer wangazija??
 
Kwa utafiti wangu,hii ndo list ya mikoa kumi yenye totoz za ukweli na asilimia zake kwenye mabano
1.Tanga-87%
2.mwanza-82%
3.dar-78%
4.dodoma-76%
5.arusha-73%
6.mara-70%
7.morogoro-66%
8.kilimanjaro-65
9.tabora-59%
10.shinyanga-51%

hili bifu na kilimanjaro mh!! yani mara,mwanza ipo juu yetu!!!! arusha aijatendewa haki!!
 
Back
Top Bottom