Mike tyson to perfprm umrah!

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Former boxing champion, Mike Tyson who embrased Islam in 1990s is in his first visit to audi Arabia to perform Umrah. He arrived in Medina on Friday 2nd of July 2010 to perform prayers at the Prophet's Mosque.
 
Tunamtakia kila la kheri na akiweza abadilike kitabia pia.
Kadri umri unavyoongezeka ndio mwisho wa maisha unakaribia
 
Nampongeza na kumtakia kila la kheri... akiweza aje atembee na Tanzania, kule Pahi kuna waislamu safi sana na ataombewa na kupokewa vyema na brothers

DN
 
Mungu mkubwa........Kwa kila mwenye uwezo hali ya kuwa ni muislamu basi na alitekeleze hilo
 
Back
Top Bottom