Mikataba ya madini hivi ina kikomo kwanza kwisha 2015

dostum

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
215
110
wanajanvi ningependa kujua kama hii mikataba ya gesi na madini itakwisha lini ili labda baada ya kwisha hii tuibadili na kumaliza malalamiko yaliyopo. kwani kwa mujibu wa mchumi pro. lipumba na kamanda mwanasheria lissu nilishawahi kuwasikia eti kwa sasa tunapata tsh 3/- kwa kila 100,000/- na kuwa ilikuwa ya miaka 20 ivyo iliyofungwa mwanzoni mwa mkapa akiingia madarakani 1995 itaishia 2015. naomba uhakika wa hili
 
Back
Top Bottom