Mikataba ya Cheka na Promoter ni full comedy.

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Hii ndio mikataba baina ya Cheka na Promoter ,kwa mikataba kama hii hata ningekuwa mimi naweza nisipande ulingoni na ukinipeleka mahakamani sihitaji wakili nasimama mwenyewe.Chunguza kwa makini utagundua mapungufu makubwa sana.
 

Attachments

  • 135.JPG
    135.JPG
    40.3 KB · Views: 583
  • 134.JPG
    134.JPG
    217 KB · Views: 569
Ila inaonekana mapromota walio wengi ni "Maimuna" Hebu cheki hayo maandishi ya kalamu ya wino.Bora uandike kwa kiswahili tu; malipo ya awali, salio,malipo ya ziada. Unasomeka uzuri tu.
 
Ila inaonekana mapromota walio wengi ni "Maimuna" Hebu cheki hayo maandishi ya kalamu ya wino.Bora uandike kwa kiswahili tu; malipo ya awali, salio,malipo ya ziada. Unasomeka uzuri tu.

kaaazi kwelikweli! duuu hatari haka nikaugonjwa aaati!
 
hapa vipi?mikataba miwili,bondia moja kupigana na mabondia wawili siku moja muda wa saa kumi na nusu jioni na kupanda ulingoni tena saa tano usiku kupambana na mwingine......basi kama ndo ivi Cheka atakuwa anatisha sana kwenye ndondi...
 
duh ndo maana mabondia wetu au wanamichezo wetu wankufa njaa sababu ya hawa ma promota uchwara khaaaaaa
 
yani uyu aliyejaza iyo fomu hata darasa la saba sijui kama amemaliza maana mh...........
 
Back
Top Bottom