Huu utetezi wenu wa kizamani na vile vimakofi walivyokuwa wanampigia wapambe mle ndani ndo mnazidi kumfanya ajione amefanya sawa. Kwani kuna TV gani nyingine imedaiwa kuibeba chama zaidi ya TBC?
Kiswahili kama wanavyokifahamu wengi ni lugha inayobadilika kila siku.
Kwa vijana wa kileo watakuambia BEI gani?
Hata hivyo kujibu swali lako
Shs 11,000 ni elfu kumi na moja
Shs 10,001 ni elfu kumi na shilingi moja
Upo hapo .
Sawa, nani kamtuma yeye kuishambulia TBCCM?
Mhhh, yale yale ya "ndani ya Bus kuna asbiria 49 na Mmakonde mmoja".
Yaani unaposema "Shs 10,001 ni elfu kumi na shilingi moja" kwani hizo Elfu kumi si shilingi?
Utafikiri umewekewa maembe elfu 10 na Shilingi moja? Khaaaa!!!!!!
Shs 11,000 ni shs. kumi na moja Elfu.
Shs 10,001 ni Shs. Elfu kumi na moja.
Kumi elfu na mojaMhhh, yale yale ya "ndani ya Bus kuna asbiria 49 na Mmakonde mmoja".
Yaani unaposema "Shs 10,001 ni elfu kumi na shilingi moja" kwani hizo Elfu kumi si shilingi?
Utafikiri umewekewa maembe elfu 10 na Shilingi moja? Khaaaa!!!!!!
Shs 11,000 ni shs. kumi na moja Elfu.
Shs 10,001 ni Shs. Elfu kumi na moja.
Mkuu Nami,Jana nilimsikiliza vizuri sana Aweda kwenye Malumbano ya hoja. Alizungumza vizuri sana kuliko wazungumzaji walio wengi. Lakini point yake ya pili kwa maoni yangu alipotea ramani kabisa na kujiharibia mwenyewe kabisa. Si sahihi yeye kuisifia ITV ambayo inamwalika karibu kila wiki mara malumbano ya hoja, mara kipima joto mara vipindi vipindi vingine halafu akapata ujasiri wa kitoto wa kuishambulia TBC kuwa ni kipeperushi cha baadhi ya vyama. Nina uhakika alikuwa analenga TBC japokuwa hajaitaja kwa jina. Ina maanisha kwamba Aweda hahitaji kutumia TBC hata siku moja? Je, kwa kuwa Mbowe na kamati kuu wamesema yeye ilikuwa inamhusu nini kuingia kwenye hoja ambazo hazimsaidii.
Kwa kweli, nilikuwa namheshimu sana Aweda kwenye mitandao na ktk vipindi vya ITV ambavyo mimi nimtazamaji mzuri lakini jana nilimwonea kama mwanampotevu.
Mwisho, Aweda nakushauri, najua JF unakuja kwa mara na thread yangu utaisoma, achana utoto. Vinginevyo siasa zitakushinda mapema kabisa mdogo wangu.
Mods msifute mada yangu, kwa sababu mimi sijui kama Mikael P Aweda huyo ni wa JF au La.
Mkuu Nami,
Pole sana mkuu kama yule Mikael P Aweda wa kwenye ITV alikuudhi kiasi cha kuanzisha uzi huu. Hata mimi nilimwona akiongea hivyo. Nadhani majibu uliyopewa na wanajamvi yamekutosha.
Nina swali moja, Yeye hakutaja jina la TV sasa kwa nini wewe umetaja TBC? Kwani TBC huwa inabeba ccm?
Sina cha kuongeza.
nafikiri nikuache ukikua utajua namaanisha nini. uliza wakongwe wa hili jamvi huyu gfsonwin ni chama gani? utajua usikurupuke tu kudandia treni kwa mbele. sina imani na Aweda full stop. wala msikaririshe watu kwamba chadema ndo chama chenye watu safi kuliko vyama vingine allah! tatizo wanachadema wengi mnatawaliwa na jazba kuliko kuangalia facts. na kamwe hamtashika madaraka kwa stail hii. mnafanya jamvi kuwa mali ya cdm tu akisema mtu mwingine kosa mkikosolewa kosa nyie nani hadi mtutishe ama tuwaogope? mmefanya nini cha ajabu sana ambacho kitatushawishi hata kuwafikiria? ama huko kupiga kelele na kusababisha vifo vya wenzenu? tena natamani kweli nikufahamu vizuri ama ulete ID yako nyingine hapa.
Karibu ungepatia, jibu sahihi ni:
11,000 = Kumi na moja elfu
10,001 = Kumi elfu na moja
Nimeipenda hii chemsha bongo maana inasaidia kutosoma up.pu mwingineo huku ...
Kumi elfu na moja
nafikiri nikuache ukikua utajua namaanisha nini. uliza wakongwe wa hili jamvi huyu gfsonwin ni chama gani? utajua usikurupuke tu kudandia treni kwa mbele. sina imani na Aweda full stop. wala msikaririshe watu kwamba chadema ndo chama chenye watu safi kuliko vyama vingine allah! tatizo wanachadema wengi mnatawaliwa na jazba kuliko kuangalia facts. na kamwe hamtashika madaraka kwa stail hii. mnafanya jamvi kuwa mali ya cdm tu akisema mtu mwingine kosa mkikosolewa kosa nyie nani hadi mtutishe ama tuwaogope? mmefanya nini cha ajabu sana ambacho kitatushawishi hata kuwafikiria? ama huko kupiga kelele na kusababisha vifo vya wenzenu? tena natamani kweli nikufahamu vizuri ama ulete ID yako nyingine hapa.
Majuzi nilikuona umempakia Mleta mada NAMI kwenye gari lako. Nami hajambo. Msalimie ukimwona tena. Mwambie ile mada uliyoleta kuhusu Aweda Mikael kuishambulia TBC imepata wachangiaji wengi sana ila wamemponda sana.
Jana nilimsikiliza vizuri sana Aweda kwenye Malumbano ya hoja. Alizungumza vizuri sana kuliko wazungumzaji walio wengi. Lakini point yake ya pili kwa maoni yangu alipotea ramani kabisa na kujiharibia mwenyewe kabisa. Si sahihi yeye kuisifia ITV ambayo inamwalika karibu kila wiki mara malumbano ya hoja, mara kipima joto mara vipindi vipindi vingine halafu akapata ujasiri wa kitoto wa kuishambulia TBC kuwa ni kipeperushi cha baadhi ya vyama. Nina uhakika alikuwa analenga TBC japokuwa hajaitaja kwa jina. Ina maanisha kwamba Aweda hahitaji kutumia TBC hata siku moja?
Je, kwa kuwa Mbowe na kamati kuu wamesema yeye ilikuwa inamhusu nini kuingia kwenye hoja ambazo hazimsaidii.
Kwa kweli, nilikuwa namheshimu sana Aweda hapa JF na ktk vipindi vya ITV ambavyo mimi nimtazamaji mzuri lakini jana nilimwonea kama mwanampotevu.
Mwisho, Aweda nakushauri, najua JF unakuja kwa mara na thread yangu utaisoma, achana utoto. Vinginevyo siasa zitakushinda mapema kabisa mdogo wangu.
Mkuu kwanini usijadili hoja,acha umbea
Utake usitake jimbo atapata. tena yeye ni sawa na magamba kumi mjengoni. Iwe kwao manyara au ukonga tunampa.
hujawaona jana alivyowafunika magamba zaidi ya 10 waliokuwa wanasema waandishi wa habari wako salama? Mbona waliishia kumpigia makofi?