Mijitu hii siipendi na inanikeraaa aaarrgghh...

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Unakuta lijitu linaweza kabisa kuongea kiswahili kizuri tu basi ukilikuta linaongea neno moja la pili kiingereza ,huu ni ushamba na ulimbukeni wa lugha za kigeni,hamjui kua mna kinajisi kiswahili?kama unaamua kuongea kingereza ongea kingereza moja kwa moja kana unaongea kiswahili ongea kiswahili moja kwa moja,hasa nyie ma dada fanya (sista do) na masharobaro,huo ni shamba unalikuta jitu limesoma
s/m tandale + bon'goa nikusweke sec likifika chuo tu linajifanya kuongea kiswahili halijui na mingine imekula daraja la 4 kidato cha nne nae pia hujiona msomi akichanganya kisw+kiing..kiingereza sio kigezo cha usomi kwa kuwa hadi chizi kenya anaongea kiingereza,siwakatazi kuongea kiingereza,ila msiwe mnachanganya na kisw,mnatuharibia lugha yetu aaaarrggh acheeeniii hzoooo yoo...
 
Hua inanishanishangaza saana when one condemns others of issues ambazo ni wazi kabisa nae afanya.... Okey yawezekana kweli wakerekwa... But why choose such a name as Great Thinker kama kweli you are that patriotic about your Language?

Samahani kama nitakua nimkekukwaza mkuu... lakini mara nyingi sio makusudi... Believe me you.... Tubadilike jamani... Kwamba mtu akichanganya lugha wamsoma vibaya au kufikiri kua anajionesha yeye ni bora? jamani where dou you get that idea?... Sio kwamba ni masister do' hapana... It just happens...

Pole saana Great thinker kwa makwazo ambayo hua tunakupatia..... Ila tu nashauri uzoee maana sidhani kama waweza i-control. Jiion njema.
 
Hua inanishanishangaza saana when one condemns others of issues ambazo ni wazi kabisa nae afanya.... Okey yawezekana kweli wakerekwa... But why choose such a name as Great Thinker kama kweli you are that patriotic about your Language?

Nimeipenda hiyo. Mara kwa mara hapa huwa nasema sisi binadamu ni mahodari sana wa kuona dosari za wengine kuliko zetu sisi wenyewe.

Samahani kama nitakua nimkekukwaza mkuu... lakini mara nyingi sio makusudi... Believe me you.... Tubadilike jamani... Kwamba mtu akichanganya lugha wamsoma vibaya au kufikiri kua anajionesha yeye ni bora? jamani where dou you get that idea?... Sio kwamba ni masister do' hapana... It just happens...

Wapo ambao hufanyaga makusudi. Wapo ambao hupenda kujionyesha kuwa nao wanajua Kiingereza. Watu wa aina hii huhusisha Kiingereza na ustaarabu flani hivi pamoja na usomi. Wewe hujawahi kukutana na watu wa hivyo?
 
hiyo ''yoo'' kila mwisho wa post yako ni kiswahili?we mwenyewe unaboa pia
 
Mpeni nafasi... watakuja watu kumchakachulia thread atajikuta anashirikiana nao kwa kingereza. mbona tumesoma nyingi tu kama hizi? lol
 
Wapo ambao hufanyaga makusudi. Wapo ambao hupenda kujionyesha kuwa nao wanajua Kiingereza. Watu wa aina hii huhusisha Kiingereza na ustaarabu flani hivi pamoja na usomi. Wewe hujawahi kukutana na watu wa hivyo?

Kweli kabisa sisemi kujitetea.... Kwa hapa jamvini sijatilia maanani, ila uraiani.... Kaaaaz kwel kwel!

Na labda sababu Great R ka comment, labda sasa itakua more evident kwangu...
 
Ni janga la taifa! Kuna uwezekano mkubwa kabisa hapo mbeleni Kiswahili kikafutika na lugha mpya ikazaliwa (Kiswanglish).
 
Naona watu mnachanganya ubwabwa na uji. Badala ya kujadili mada mnaanza kumjadili Mwita25.
 
Nilikuwa sijakuelewa vizuri Mwali na post yako hii

Mpeni nafasi... watakuja watu kumchakachulia thread atajikuta anashirikiana nao kwa kingereza. mbona tumesoma nyingi tu kama hizi? lol

Hata hivyo baada ya kusoma hii hapa chini nijikuta ghafla tu nakuelewa vizuri...i mean, kazi kweeeli kweli,

Naona watu mnachanganya ubwabwa na uji. Badala ya kujadili mada mnaanza kumjadili Mwita25.
 
Ndiyo maana ya kiswahili.... a mixture of so many languages,

English,portuguese (e.g nanasi) , Spanish(eg. punyeto), Indian (eg. charahani), Arabic (eg.mahakama).... German (eg.shule).

Kwa hiyo usimind(oops!).
 
Ni janga la taifa! Kuna uwezekano mkubwa kabisa hapo mbeleni Kiswahili kikafutika na lugha mpya ikazaliwa (Kiswanglish).

Exactly ... this should start with Members of the Parliament!! Kwani pale mjengoni huu ugonjwa vipi? Pamepona Janga hili! ... I really doubt!! ... AND Not in the near future! ... Na Taifa hili lina majanga mangapi ya kushughulikia?
 
ni ipi prime language ya jamii forum? Mtu unjiexpress unavyofeel utaeleweka bana
 
Unakuta lijitu linaweza kabisa kuongea kiswahili kizuri tu basi ukilikuta linaongea neno moja la pili kiingereza ,huu ni ushamba na ulimbukeni wa lugha za kigeni,hamjui kua mna kinajisi kiswahili?kama unaamua kuongea kingereza ongea kingereza moja kwa moja kana unaongea kiswahili ongea kiswahili moja kwa moja,hasa nyie ma dada fanya (sista do) na masharobaro,huo ni shamba unalikuta jitu limesoma
s/m tandale + bon'goa nikusweke sec likifika chuo tu linajifanya kuongea kiswahili halijui na mingine imekula daraja la 4 kidato cha nne nae pia hujiona msomi akichanganya kisw+kiing..kiingereza sio kigezo cha usomi kwa kuwa hadi chizi kenya anaongea kiingereza,siwakatazi kuongea kiingereza,ila msiwe mnachanganya na kisw,mnatuharibia lugha yetu aaaarrggh acheeeniii hzoooo yoo...

Unanipaisha, unajuwa sisi wengine Kiswahili ni lugha mama lakini Kiingereza ndio kilikuwa lugha ya shuleni toka naanza kusoma, Kiswahili lilikuwa somo moja tu na lenyewe lilikuwa halina nguvu sana, ukipasi ukifeli halisaidii. Kwa hiyo kuandika Kiingereza kwangu ni kama "second nature" na ni wepesi sana kwangu kujieleza kimaandisha kwa Kiingereza kuliko Kiswahili.

Kiswahili cha kuandika nimejifunza zaidi JF na nnaendelea kujifunza.
 
Mbona sijawahi kukuona umeandika hata sentensi moja ya kiingereza tangu niingie JF?
 
Tatizo unaloliona ni mtazamo finyu tu wa fikra zako. Aidha kabla hujaanza kuvurumusha mawe kwa sisi tuchanganyao lugha, ungeiliza kwa nini huwa hivyo.
Kwa kua hujauliza basi nikuache bila jibu. Sasa utabaki unataka kujua kwa vipi nimekwambia una fikra finyu.
Ni hivi mara kadhaa tunamuona Balozi wa Marekani hapa nchini akiongea kingereza akichanganya na Kiswahili, na si yeye tu, Wazungu wengi wanachanganya kingereza na Kiswahili lakini hawaonekani kioja au kituko! . Wala hamuwaonyeshei kidole! . Vidole ni kwa Mswahili kuchanganya. Maana wazungu mnawaogopa au mnawaheshimu? Nonsense with Senseless !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom