Jamani habari zenu?mwenzenu yamenikuta jumamosi iliyopita,MY X kampiga jamaa yangu kisa anadai mimi bado wake..Ilikuwa hvi huyu x aliondoka Tz mwaka 2003 kwenda Italy akaniaga anaenda South Africa kwa miezi 2,nilishangaa nakuja kuambiwa na kaka yake amekwenda Italy....nilisubiri mpaka 2005nikaamua kutomsubiri mtu ambaye sina mawasiliano nae,hvyo mwezi uliopita karudi akanitafuta ..ktk maongezi yake anadai bado mimi ni wake na akalaumu kwa nini nimemsaliti?kwa kweli nilimwambia kuwa mim nina mtu wangu akasema haelewi hilo na anataka kuja kujitambulisha kwetu anioe,..nilimkatalia nikimwambia ninamaisha mengne tofauti na hapo zamani mbaya zaidi akawa ang'ang'ania kwenda kulala na mimi ,nilimkatalia katakata kwa hlo akasema km simuamini basi tujipime..nilikataa.Tatizo limekuja weekend tulikuwa mahali na mpenz wangu tumejipumzisha huyo x wangu akaja na wapambe wake wakawa wamekaa wanatuangalia mimi nikamwambia mpenz wangu kuwa tuondoke,tulivyofika kwenye gari mara x wangu na wapambe wake wakafika x wangu akaanza kumuuliza kwa nini anachukua mke wa mtu?jamaa yangu alishangaa akamwambia mim mbona si mke wa mtu,basi x wangu akamjibu kuwa mim ni mke wake na asipoachana na mimi atamfundisha adabu,mim nikamwambia jamaa yangu aingie kwny gari tuondoke kweli tuliondoka wakt tupo njian nikamwambia yote kuhusu x wangu..2kaamua kwenda sehemu nyingine kusindikiza weekend ile tunafika hapo mara x wngu na watu wake wakapark magari yao mbele yetu jamaa yngu akashuka akauliza kwa nin wanatuletea fujo?niliona tu x wngu na wapambe wakianza kumpiga nikawa namwambia x wangu amuache akadai atamuacha mpaka nimrudie yeye,bahati nzur walifika watu kugombelezea x wangu akaondoka,jamaa yngu akaamua twende police huko nako wakatupa RB,jumatatu x wangu akakamatwa ila huwezi amini alitolewa siku hyo hyo,akanipigia simu anajidai eti anapesa hakuna anayeweza kumfunga ...sasa jamaa yngu namuonea huruma maana hana amani kwa sasa hata kule police wanatuzungusha wakidai eti sisi ndo tulianzisha ugomvi..nifanyeje jamaa yngu atembee kwa amani maana x wngu kaahidi kumfata mpaka kazini kwake.