MIILI YA mashujaa ( WANAJESHI) WALIOKUFA DARFUR YAWASILI

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571
three-Tanzania-People’s-Defence-Forces-TPDF-soldiers.jpg

Majina yao ni

Corporal Yusuf Said
Private Anthony Danielf
Sergeant Julius Chacha.

mmeonyesha uzalendo wa kweli kutetea waafrika wenzetu sudan,

President Jakaya Kikwete ametuma salamu wa rambirambi kwa mkuu wa majeshi General Davis Mwamunyange kutokana na vifo Lieutenant Colonel (rtd) Adam Hussein Mwandu Makwaia (62)
 
Bora wangekufa polisi wote Tanzania kuliko hao wanajeshi watatu.MUNGU AWAPUMZISHE.
 
View attachment 64172

Majina yao ni

Corporal Yusuf Said
Private Anthony Danielf
Staff Sergeant Julius Chacha.

mmeonyesha uzalendo wa kweli kutetea waafrika wenzetu sudan,

President Jakaya Kikwete ametuma salamu wa rambirambi kwa mkuu wa majeshi General Davis Mwamunyange kutokana na vifo Lieutenant Colonel (rtd) Adam Hussein Mwandu Makwaia (62)

M.Mungu awarehemu.
 
Bora wangekufa polisi wote Tanzania kuliko hao wanajeshi watatu.MUNGU AWAPUMZISHE.

You have spoken my deep feelings..baadhi pia waanze kupelekwa maana kazi ya kulinda Raia imewashinda. Kama wao wanajua zaidi basi waende huko wakarushiane na wanaume wenzao alaa.
 
Bora wangekufa polisi wote Tanzania kuliko hao wanajeshi watatu.MUNGU AWAPUMZISHE.

Polisi wote wafe?
mh napiga picha uo uhuru wa raia kujifanyia mambo bila kuwa na woga wa polisi.

Mimi naomba yule mwenye fikra hovyo za kutaka madaraka hata kwa mtutu ndio angekufa.lol!
 
mungu awalaze peponi sio pema,hao sio mashujaa hao ni viherehere walioacha nchi yao inazama wakaenda kuipigania nchi ya wengine hata hivyo ingependeza kama wangekuwa ni polisi na ingebidi wawe wengi zaidi.
 
hela zao nazo zimekuja au zimeenda uswizi!?

Pumzikeni kwa amani wanajeshi.
 
View attachment 64172

Majina yao ni

Corporal Yusuf Said
Private Anthony Danielf
Sergeant Julius Chacha.

mmeonyesha uzalendo wa kweli kutetea waafrika wenzetu sudan,

President Jakaya Kikwete ametuma salamu wa rambirambi kwa mkuu wa majeshi General Davis Mwamunyange kutokana na vifo Lieutenant Colonel (rtd) Adam Hussein Mwandu Makwaia (62)

Mbona naona kama huu uzi umechanganya madawa; kuna hawa waliokufa Darfur na huyu Makwaia ambae mkweree amemtumia rambi rambi!! Huyu Makwaia naye alikuwa Darfur au amekufa nyumbani kwake kwani alikuwa mstaafu? Huyu Makwaia ni yule alikuwa msaidizi wa mwalimu Nyerere wakati fulani?
 
hawa siwezi kuwaita mashujaa.. wanajeshi gani hawawezi kuogelea? Mimi nadhani hawa ni mgambo waliopewa mchongo wa kwenda huko sudan
 
mashujaa kwao walio watuma ila kwetu walalahoi tunawaona vidampa tuu. Kiherehere chao njaa na kutumiwa ndio kuliko waponza . Inakuwaje waonekane mashujaa kwa kulinda amani na mali za mataifa mangine na huku hapa kwetu tz maliasili zetu watu wanazitenda watakavyo??? Hao labda ni mashujaa wa viherehere
 
Duh! Kazi ipo :nono:
 
Pole kwa wafiwa,sasa huko Dafur si wapelekwe hawa wajinga polisi wetu wauaji,maana wameshindwa kulinda raia wanawaua,hawana faida kwetu,waende huko hata wakifa hatutaumia,kama tunavyoumia kwa kifo cha hawa wanajeshi
wetu.
 
Bora wangekufa polisi wote Tanzania kuliko hao wanajeshi watatu.MUNGU AWAPUMZISHE.

It looks like you don't know your real enemy. Hao polisi wataendelea kuwepo tu, vyama vya siasa ndio vitabadilika.
You have to deal with those are mister minds of every evil mission in our country.
 
hawa siwezi kuwaita mashujaa.. wanajeshi gani hawawezi kuogelea? Mimi nadhani hawa ni mgambo waliopewa mchongo wa kwenda huko sudan

LIKE mkuu! Mimi siamini kama mwanajeshi anashindwa kuogelea hata kama amenasa ndani ya gari linalozama. RIP wanajeshi goigoi, watoto wa mama walioingia jeshini kwa kubebwa.
 
Jamani acheni dhihaka. Hivi mnafahamu nguvu ya maji lkn au mnatoa mapovu tu hapa. Kama Beraja(gari walilokuwa nalo) limesukumwa na maji ije kuwa binadamu? Mnasema goigoi walishindwa kuogelea kwani wao ni askari wa majini? Hlf mnajiita GT!!!!!! %.?/+";:_!:,.!:;_
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom