Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

Status
Not open for further replies.
Hapo mkuu mie naona ni mambo ya imani kuna waislam wenye imani lkn muongozo wa kidini ndo sio mzuri..waislam wanafundishwa toka utotoni kuwa rafiki yako ni muislam tu so kuuponda ukristo ni jadi na iko katika kurhan yao...je ulishagasikia mkristo amejiripua au kujitoa muhanga?

Waislamu ni marafiki kwa wakristo ila wakristo ndio hawawapendi waislamu wanafundishwa kanisani kuwatukana, dharau etc...waislamu wangekuwa si wavumilivu tanzania kungewaka moto...

Ndio nimeshasikia wakristo wanaojilipua hapo uganda kuna LRA na Ireland wamelipuana wakatoliki na waprostanti kwa miaka 30 ...in fact hii tactic ya kulipua imetoka kwa wakristo na tamil tiger wa srilanka ambao wote ni wakrito soma historia
 
Tumaini acha ulongo wewe. Mbona Zanzibar mnachoma makanisa mkisema dini inayoruhusiwa huko ni uislamu tu! Saudi Arabia, Iran etc dini zingine haziruhusiwi na waweza kuuawa ukianzisha dini nyingine. Je huo ndo urafiki wa waislamu kwa Wakristo? Au unazungumzia ujamaa wetu wa kitanzania tulioachiwa na Nyerere wa kukaa pamoja?
 
Dini bora ni ile inayohubiri upendo na kuhubiri kuwa kumpenda jirani yako kama nafsi yako ndo root ya amani duniani. I wont mind going in any of mhadhara unayofundisha haya bila ya kashfa, kutukana na hulka na kupigania maslahi ya kila mtu na kuona kila binadamu ana haki mbele za Mungu kama hawana haki basi wasingeumbwa kabisa
 
Tumaini acha ulongo wewe. Mbona Zanzibar mnachoma makanisa mkisema dini inayoruhusiwa huko ni uislamu tu! Saudi Arabia, Iran etc dini zingine haziruhusiwi na waweza kuuawa ukianzisha dini nyingine. Je huo ndo urafiki wa waislamu kwa Wakristo? Au unazungumzia ujamaa wetu wa kitanzania tulioachiwa na Nyerere wa kukaa pamoja?

Uchunguzi wa kipolisi unaonyesha kuwa makanisa yaliyochomwa zanzibar yalichomwa na waumini wenyewe (wakristo) internal conflicts kuhusu matumizi ya sadaka...siyo waislamu besides makanisa zanzibar yalikuwepo miaka mingi sana kabla hata wewe hujazaliwa na hakuna muislam ambaye amewasumbua wakristo ...

Iran na saudia wakristo wapo na wanaruhusiwa kuna waarabu wakristo takriban 10 milion sasa usijidanganye au usidanye watu kwa faida ya kueneza uwongo wako ambao umefundishwa kanisani

Ujamaa wetu nimesema umeletwa na waislamu kuwavumilia na kuwapenda wakristo akiwemo nyerere mwenyewe japo yeye ndio baba wa ubaguzi, dharau na chuki...nyerere ni tatizo kubwa ..
 
kutoa mapepo ni uongo wa wahubiri kutafuta pesa...ni sawa na waganga wa kienyeji wanavyojidai kwamba watakutibu kumbe kanyaboa..soma achana na mapambio ya wajanja
tatizo lako wewe huna unalotoa ufumbuzi, hivi mafundisho ya mashekh yangekuwa ya kweli, watu tungevamiwa hata na mapanga kama alivyofanya mwamed kueneza uislamu kwa nguvu, maana watu wenye akili zilzoenda shule ilikuwa ni ngumu kujiunga na imani hiyo ya kihuni, ndiyo maana ikaenea sana maeneo ambayo hakuna elimu bali kuna ilim, nenda Rungwe kule kaulizie hata ka msikiti kama utaoneshwa lakini mtwara nyangukurukuru, nang'ole, nakanguruwe n.k utakuta wahitimu wa madrasa ni wengi kuliko wahitimu wa darasa la saba na hii ni kwa sababu uislamu unapenda kuona watu wakisoma, kuanzia mhammad mwenyewe aliyekuwa hajui hata kuandika jina lake
 
Uchunguzi wa kipolisi unaonyesha kuwa makanisa yaliyochomwa zanzibar yalichomwa na waumini wenyewe (wakristo) internal conflicts kuhusu matumizi ya sadaka...siyo waislamu besides makanisa zanzibar yalikuwepo miaka mingi sana kabla hata wewe hujazaliwa na hakuna muislam ambaye amewasumbua wakristo ...

Iran na saudia wakristo wapo na wanaruhusiwa kuna waarabu wakristo takriban 10 milion sasa usijidanganye au usidanye watu kwa faida ya kueneza uwongo wako ambao umefundishwa kanisani

Ujamaa wetu nimesema umeletwa na waislamu kuwavumilia na kuwapenda wakristo akiwemo nyerere mwenyewe japo yeye ndio baba wa ubaguzi, dharau na chuki...nyerere ni tatizo kubwa ..
tumaini
acha uongo kawadanganye wanafunzi wa madrasa kule hatuko kufarahishana kijiweni saudia hakuna kanisa hata moja na ni haramu kama wao wanavyoita, labda ungesema Dubai
 
Waislamu ni marafiki kwa wakristo ila wakristo ndio hawawapendi waislamu wanafundishwa kanisani kuwatukana, dharau etc...waislamu wangekuwa si wavumilivu tanzania kungewaka moto...

Ndio nimeshasikia wakristo wanaojilipua hapo uganda kuna LRA na Ireland wamelipuana wakatoliki na waprostanti kwa miaka 30 ...in fact hii tactic ya kulipua imetoka kwa wakristo na tamil tiger wa srilanka ambao wote ni wakrito soma historia
you ain't know nothing on this
 
tatizo lako wewe huna unalotoa ufumbuzi, hivi mafundisho ya mashekh yangekuwa ya kweli, watu tungevamiwa hata na mapanga kama alivyofanya mwamed kueneza uislamu kwa nguvu, maana watu wenye akili zilzoenda shule ilikuwa ni ngumu kujiunga na imani hiyo ya kihuni, ndiyo maana ikaenea sana maeneo ambayo hakuna elimu bali kuna ilim, nenda Rungwe kule kaulizie hata ka msikiti kama utaoneshwa lakini mtwara nyangukurukuru, nang'ole, nakanguruwe n.k utakuta wahitimu wa madrasa ni wengi kuliko wahitimu wa darasa la saba na hii ni kwa sababu uislamu unapenda kuona watu wakisoma, kuanzia mhammad mwenyewe aliyekuwa hajui hata kuandika jina lake

Ha ha Rungwe wameendelea sana kwakuwa hawana msikiti pathetic! watu wake nawajua sana choka mbaya na ukimwi kwa kwenda mbele

Ha ha Shinyanga wameendelea sana kwakuwa hawana msikiti pathetic! (wanaua albino na vikongwe wachawi ndio ukristo huo

Ha ha Musoma wameendelea sana kwakuwa hawana msikiti pathetic! mapanga shasha ndio ukristo huo

Ha ha Rukwa wameendelea sana kwakuwa hawana msikiti pathetic! uchawi origini ndio ukristo huo..

saa zingine ndugu yangu unakuwa very low ...pole
 
Muda wa jioni maeneo ya Karume, Mwenge na Ubungo (kutaja machache) kuna baadhi ya watu wamejikita kukashifu dini za wenzao kwa kejeli badala ya kuhubiri uzuri wa dini zao. hatuwezi kupata wafuasi kwa kashfa jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unawasema wale jamaa kutwa wamevaa ndala na makanzu machafu yaliyochanika chanika? Wale waganga njaa tu mkuu wasikupe shida. Ndio maana audience yao haizidi watu 50 ambapo asilimia kubwa ni wahuni tu wa kwenye hayo maeneo
 
asante kwa taharifa, lakini tusisahau wazo zuri la kuboresha au kuharibu linaanzishwa na mtu mmoja. maoni yangu wadhibitiwe mapema kabla mambo hajawa mabaya
 
Unawasema wale jamaa kutwa wamevaa ndala na makanzu machafu yaliyochanika chanika? Wale waganga njaa tu mkuu wasikupe shida. Ndio maana audience yao haizidi watu 50 ambapo asilimia kubwa ni wahuni tu wa kwenye hayo maeneo
nimemuona John mnyika kapiga kanzu. kesho utasikia anaandamwa na chadema kwa kuwa kasema kidogo kuhusu waislam. chadema juuuuuuuuuu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom