pamoja na uzuri wa mihadhara yake, ukweli ni kuwa anpotosha jamii kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. nashauri asiendelee ni mihadhara kwani nashindwa kujibu maswali ya msingi kuhusu muungano. inawezekana anatumwa na magamba ili apotoshe ukweli., kwani hata historia ya Zanzibar imepotoshwa kwa kutoelaza ukweli kuhusu Okelo na ushiriki wake muhimu kwenye mapinduzi. OKello hajaandikwa na kitabu chochote kuhusiana na ushiriki wake mkuu kwenye mapinduzi.