Miguu ya bia

lol
sio hivyo tall..................kama huna kabisa ni suala jengine, lakini wengine wanayo ila shape tu ndo mgogoro. sasa hawa waweza fanya mazowezi kurekebisha shape .....umenielewa sijui!
OK, I am sorry,nimekuelewa.
 
ahsante kwa kunipa hope tatizo my husband wangu kila akiona mwanamke mwenye miguu ya bia lazima ataangalia na kusifia

BELIEVE ME!Unachohitaji wewe ni kumbadilisha mumeo aone jinsi ulivyo mzuri na miguu yako ya SPOKO na sio kujibadilisha wewe uwe na miguu ya chupa ya bia.Nakuhakikishia haitakusaidia kamwe kwani mara utakapokuwa na miguu ya bia ataichoka na ataanza kuwaangalia na kuwasifia wanawake wenye mikono ya chupa ya bia.BADILISHA MOYO WA MUMEO UJE KWAKO DADA.
 
Charity hebu tuambie utambadilisha vipi mwanaume kama huyo....

Hivi miguu ina raha gani kwa wanaume? (just thinking loudly...)
 
Charity hebu tuambie utambadilisha vipi mwanaume kama huyo....

Hivi miguu ina raha gani kwa wanaume? (just thinking loudly...)

Nitatumia njia zifuatazo;1.Nitafunga na kumuomba Mungu ambadilishe moyo wake uache kutamani vitu ambavyo ni material(kama miguuya chupa ya bian.k)2.Nitafanya utafiti alinipendea nini wakati ananioa wakati tupo wachumba(kama nimesahau au sijui) ili niweze kukiboresha kwa kuwa inawezekana kile kitu kimetoweka kutokana na kujisahau kwangu.3.Nitajitafiti kama ninatimiza majukumu yangu sawasawa? kama usafi,kujiremba,upendo n.k4.Nitajichunguza kama ninafanya INNOVATION/ubunifu mpya katika ndoa/mahusiano ili kwenda na wakati.5.Nitajaribu kumshawishi ahudhirie semina za Wanaume hasa za kanisani walau kila mwezi ili kutengenezaAWARENESS kuhusu umuhimu wangu kwake kama mkewe na kupata mafundisho sahihi kutoka kwa wanaume wenzie6.......7......8..........9. Nitazidi kumpenda na kumuonyesha namthamini na yeye ndio chaguo langu.10...........
 
Je kuna mtu amekulalamikia kuwa miguu yako ni mibaya au kuna mtu amesema anataka mtu mwenye miguu ya chupa? Angalia usije ukaanza kutumia madawa ya kichina kama yale yanayonenepesha makalio. Watch-out-
 
Hivi kwanini unamkawiza huyo kibushuti!

Mponde na mwiko kwa ghafla sana!

Tamaa haitamwisha huyo!
 
5.Nitajaribu kumshawishi ahudhirie semina za Wanaume hasa za kanisani walau kila mwezi ili kutengenezaAWARENESS kuhusu umuhimu wangu kwake kama mkewe na kupata mafundisho sahihi kutoka kwa wanaume wenzie

Kuna mambo mawili tofauti hapo ; semina za kikanisa kila mwezi........kanisa gani? na mafunzo kutoka kwa wanaume wenzie; mmmmh napata shida ya kuhisi kuwa hata hili la kutamani miguu ya bia inaweza kuwa mojawapo ya masomo huko!
 
Nitatumia njia zifuatazo;1.Nitafunga na kumuomba Mungu ambadilishe moyo wake uache kutamani vitu ambavyo ni material(kama miguuya chupa ya bian.k)2.Nitafanya utafiti alinipendea nini wakati ananioa wakati tupo wachumba(kama nimesahau au sijui) ili niweze kukiboresha kwa kuwa inawezekana kile kitu kimetoweka kutokana na kujisahau kwangu.3.Nitajitafiti kama ninatimiza majukumu yangu sawasawa? kama usafi,kujiremba,upendo n.k4.Nitajichunguza kama ninafanya INNOVATION/ubunifu mpya katika ndoa/mahusiano ili kwenda na wakati.5.Nitajaribu kumshawishi ahudhirie semina za Wanaume hasa za kanisani walau kila mwezi ili kutengenezaAWARENESS kuhusu umuhimu wangu kwake kama mkewe na kupata mafundisho sahihi kutoka kwa wanaume wenzie6.......7......8..........9. Nitazidi kumpenda na kumuonyesha namthamini na yeye ndio chaguo langu.10...........
Charity thanks it looks like u r an optimistic person and somehow innocent ...... lakni ni ngumu sana kumbadilisha mwanaume kama huyu.... mie sioni kosa la huyu dada... mwanaume ndo anakosa..eti akiona miguu ya bia lazima ataangalia na kusifia? the world has gone crazy...
 
whats so fun about those legs ? kwanini mwanaume atamani miguu ya hivyo?....

ni udhaifu wa wachache wanaosukumwa na maumbile ya nje kuliko upendo halisi uliopo moyoni (tamaa) ... lkn lazima tukubali tumeumbwa tofauti na watu wa aina hii wapo na ni wengi tu ... wanaume kwa wanawake ... ni udhaifu kwa wananume kama ilivyo kwa wanawake wengi tu wanavyo penda pesa badala ya mapenzi ya kweli ... upendo ni muhimu zaidi ... mvuto ni ziada!
 
Kunywa biere kwa siku 15 hivi..
Kwa miezi sita afu sikilizia
 
Naomba ushauri kwa yeyote mwenye idea ya namna ya kuifanya miguu iwe ya bia au inenepe lkn sio kigimbi
Pole Kobonde, kumbe wapenda miguu wewe!.

Kwa uzoefu wangu binafsi, mimi sio kuwa nilikuwa napenda mabinti wenye miguu minene, bali nilikuwa mgonjwa wa miguu minene!.

Hata hivyo nikakumbana na bahati mbaya, kila miguu minene niliyobahatika nayo, idara nyingine sifuri!. Kila miguu mwembamba ninayokutana nayo, ni balaa!, hatari!.

Vivyo vivyo kwa vigezo vya wanawake weupe wenye nywele nzuri, sina bahati nao!.

Hivyo huwezi jua bahati yako imelalia wapi, ridhika tuu hivyo hivyo ulivyo, after all, mambo muhimu hayahitaji miguu minene, wala sura nzuri, wala shape, wala figure bomba wala, wala chochote cha kuonekanika, yanahitaji body chemistry na efforts basi!.
 
Back
Top Bottom