Migomu, maandamano na Mabomu ya machozi nusu nusu havitupi muafaka tuamue moja occupy tz...

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Kila kukicha utasikia mara UDSM ,Mara Makumira ,Mara CDM
TUNATAKA KULALA VIWANJANI VYOTE HIVI VINAISHIA KATI
SASA INABIDI TUJIANDAE KWA MECHI ITAKAYO LETA MSHINDI SIO
TUNAISHIA KATI BANA AHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ANGALIA NA HIKI HAPA TENA

hapa nipo pande za udsm, ni vurugu tupu, nim,efika na nimekuta
wanafunzi wanakimbia huku na huko, nilipo pita karibu na kikundi
fulani cha wanafunzi nikasikia wakisema kuna mtu mmoja wa
usalama wa taifa amekamatwa na wanafunzi wamempiga na wakawa
wameendelea kumshikilia, kitendo hicho kimepelekea polisi kuja
kumuokoa mwenzao.
nilipo wauliza wanafunzi kwa nini wanakimbia?
wakajibu kuwa wanaogopa kukamatwa na polisi.
 
Hivi hawa wasomi hawana mbinu wanashindwa na machinga duuh aibu, funga njia panga mawe polisi atapita wapi arusha tupo katika mpango nafikiri this time polisi watakiona
 
Haileweki kuna kitu kinatakiwa kufanyika
ila bado hakijapatikana ndo maana haya yote
yanatokea
 
Haileweki kuna kitu kinatakiwa kufanyika
ila bado hakijapatikana ndo maana haya yote
yanatokea

Hamuwezi kufanya jambo kubwa bila mipango bwana hii ni aibu!! Ni lazima kupima utakapoanza kufanya ulilokusudia nini kitakuzuia ni vipi utakikwepa vinginevyo utashindwa tu.
 
Tunajua kabisa polisi wakija ni mabomu na risasi tu hawana akili inabidi sasa sisi tuwe na mkakati kama wa machinga wa mbeya kuwazuia polisi kufanya kazi yao isiyokuwa na akili vipi wasomi bwana tumieni akili yenu bwana mnatuanagusha.
 
Hakuna haja ya kulumbana na mwenda wazimu. Hawa CCM wehu kwanini wasingepanda basi
la Akamba wakaomba kudesa walichofanya Kule Kenya. Ni kichekesho kungangania
Jakaya ateue wajumbe wa kamati ya kuandika au kuratibu maoni sio jukumu lake
Yeye akae ikulu na wake sake angojee kuweka sahihi sheria/ Katiba ikishapitishwa na wananchi hako kabunge
ni rubber stamp uamuzi ni wetu.Kule Libya na Tunisia si waliandamana na wamemtoa Kadafi wakamzika Jangwani na
Tunisia kaenda hijja maka mapema sijui hawa watakimbilia wapi?
 
?????????????? sijakuelewa!! topic inasema
 
Vyuoni tatizo kuu ni mkopo especially mwaka wa fedha huu watu wengi wamekosa mkopo (no loan) ihali wanahitaji mno, na hapa chuo kilichotokea ijumaa kuna watu walikamatwa sasa watu wanapigania haki za hao waliokamatwa na wale waliosimamishwa masomo ili waweze kurejea madarasani mapema, nilichosikia aliyepigwa alikuwa ni askari wa auxiliary ingawa sina uhakika tokana na eneo hali kuwa tete, Daruso wameandaa agenda nzuri za msingi kama watayafanyia kazi hayo basi watamaliza hizi tofauti!
 
Serekali imekosa vipaumbele katika elimu ya juu badala ya kuwa wazi wanatumia siasa.wataumbuka na migomo isiyoisha mwaka huu
 
Dawa ipo jikoni, MAGAMBA wameshangilia kitendo cha shujaa Lema kusota rumande, wakasherekea pia wana_Mbeya kunyanyaswa, sasa siku zinahesabika. Kikwete na band yake aandae vifaru, risasi, mabomu na bunduki za kututosha watanzania wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom