Tumeshuhudia hivi vitu na sisi ndo tunaumia,, tunaandika maneno ya hasira humu bila kuchukua hatua! Wataalam walitakiwa waendelee na kazi zao lakini sio wenyewe ndo wadai vifaa,dawa,posho na mishahara, mazingira ya kazi kuboreshwa ile hali sisi wananchi wa kawaida ndio tuna wajibu wa kuiwajibisha serikali. Ujue nini mimi naamini sasa neno la mnyika tuitwe watanzania wote. Tumeshindwa kuchukua hatua na tumekuwa watu wa kujaza post za kutoa pole na kutukanaa bila kuonesha way forward kwenye matatizo! Ili page isiwe kijiwe tuanzishe utaratibu tatizo likitokea we focus kwenye wayforward sio kuelezea tukio tenaa kama kuna watu wamezaliwa leo na wameanza kutumia mitandao. Hali ya hospitali zetu sio nzuriii especially MNH tunafanyaje, ulimboka kapigwa nusu kufa tunafanyaje, mgomo umetokea tunatoa solutions na sio kuanza ku narrate story.....