MZAHA WA CUF KUWA 'CHAMA TAWALA' NA 'CHAMA CHA UPINZANI' KWA WAKATI MMOJA KWA KIPINDI KILE KILE NDANI YA TAIFA MOJA!!!Imefika stage ya kujiuliza objectively; haya ya kugomagoma na kutoka nje na kurudi ndani ya bunge; kukanusha kumtambua kiongozi aliyeapishwa na kutambulika kikatiba; je, huu ni ulafi wa madaraka? Ni staki nataka? Au ni njia ya kinyonge ya kudai haki? Au ndio demokrasia na maendeleo yenyewe? Kwa maslahi ya nani? Nadhani inaanza kututatiza... Au inatia moyo kuelekea Tunisia/Ijipta!!!