Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Kqshindwa kucope na speed ya BabKi moon; mkorea yule balaa mama alifanya business as usual ndio maana kaomba na kakosa tena; mama you have proved a failure maana angekuwa performer angeendela nae; lakini kaonekana mzigo maan muda mwingi yuko huku kuja kutuonyesha yuko UN. Anyway karibu but binafsi sijapenda ulivyo tuprove we cannot perform

Moon anataka UN ifanyiwe mabadiliko makubwa ya uongozi, na mtu aliyekuwa anasimamia hy sera ni Dr Asha, kwa madai yk akaoana si vibaya na yeye akahusika kwenye hy mabadiliko.
 
Kqshindwa kucope na speed ya BabKi moon; mkorea yule balaa mama alifanya business as usual ndio maana kaomba na kakosa tena; mama you have proved a failure maana angekuwa performer angeendela nae; lakini kaonekana mzigo maan muda mwingi yuko huku kuja kutuonyesha yuko UN. Anyway karibu but binafsi sijapenda ulivyo tuprove we cannot perform

kwa siasa za un hususan hizo nafasi za juu "performance" si kigezo kikubwa
kinachoangaliwa .-(
 
Kwa kuwa JK na waislam ni kama kidole na pete, atamsaidia katika harakati za kuingia ikulu
 
Uwezo wake wa kufanya kazi ni wa kawaida sana. Hana jipya na sidhani hata hao CCM wanaweza kumteua kugombea uraisi. Binafsi napenda kuwa na kiongozi mwenye uelewa wa kimataifa, lakini Rose hakuwahi kusimamia jambo na kulifikisha mwisho. Amekuwa mtu wa kugusagusa tu.
 
I was expecting this events to occur,actually this woman didn't deserve to be in this post,she possesses the same habit as his former boss here in Tanzania,she uses her time in UN to visit almost the whole world while she was supposed to be at office as assistant to UN general secretary...And I caution Tanzanian not to attempt to elect this women to be our president,we will experience terrible time more than what we seen now..
 
kqshindwa kucope na speed ya babki moon; mkorea yule balaa mama alifanya business as usual ndio maana kaomba na kakosa tena; mama you have proved a failure maana angekuwa performer angeendela nae; lakini kaonekana mzigo maan muda mwingi yuko huku kuja kutuonyesha yuko un. Anyway karibu but binafsi sijapenda ulivyo tuprove we cannot perform

may be this is true. Kama aliomba na kwanini wamwache wkt tayari ana uzoefu in the same post? Mama na wewe umetuangusha watanzania jinsi serikali yetu ilivyokosa mvuto nchi za nje. Pole sana na karibu udsm ukafundishe wanakuhitaji bado.
 
Back
Top Bottom