Tumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.
Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Jaribu kuchambua maada yako kwa kina! Hatua zipi kenya ilizochukua? Then Toa sababu za msingi za serikali kutoa tamko juu ya Rose migiro.Tumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.
Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Diplomatic inalinda kile alichofanya, sio vyote huwekwa hadharani kwa mujibu wa UNTumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.
Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Kwa nini hakuongezewa!!!!????Wa Kenya amefutwa kazi kutokana na kufanya kazi chini ya viwango kule Juba,Sudan Kusini
Huyu Asha muda uliisha ,hakuongezewa mkataba. Shida iko wapi?
mbona bunge lilitoa mapendekezo ya wote waliochukua pesa za escrow kukamatwa na hakuna lolote lililofanyika kuwakamata.Kwa nini imekuchukuwa Miaka yote hiyo kuja na pendekezo kama hilo? Kwa nini usingetoa hili pendekezo punde tu tukio lilipotokea?
Kwa nini hakuongezewa!!!!????