Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm;

wajiona shujaa mwenyewe....
 
Nimejaribu kukitafakari chama cha magamba nikaona kwa sasa hali yao ni ngumu sana kwenye kupata mtu wa kumsimamisha 2015. Je mnadhani kuwa Dr. Migiro (wa UN) anaweza kuja kusimamishwa kugombea urais kwa CCM? Je ataweza kusimama na Dr. Slaa?
 
Kwa vigezo vp mkuu? Kumbuka huyo mama alikuwa kwenye baraza la mkuu wa kaya,hivyo anajua namna wanavyokula na kutudhulumu nchi ye2 sote. Atataka kuwalinda na kuacha mitandao ya wizi iendele kutamba. This country inahitaji kiongozi atakayevuruga huu upuuzi wanaoufanya na kujenga system upya
 
Kwa Nchi ilipofika tunaitaji a strong man sio a tough man!!!!!!!!.Ni mzuri lakini kwa sasa Taifa linaitaji mtu wa kulitoa kwenye maisha ya hofu na mashaka.Bado Taifa alijafika muda wa kutawaliwa na mwanamke kutokana na utamaduni wa makabila mengi ya Taifa hili kuwa bado ni ya mfumo unao jitanabaisha zaidi kwenye kujenga Mwanaume kuwa mkuu wa kaya na Mwanamke kama msaidizi wa kaya.


Hivyo basi mama huyo au Mwanamke yoyote yule,kama Wamerikani walivyokuwa hawako tayari kwa uchaguzi uliopita kutwaliwa na Mwanamke Tanzania bado!!!!!!!!!!!!!.
 
Tatizo sio nani wa kuongoza CCM tatizo ni Chama chenyewe kilipo hakiongozeki..., cha maana ni CCM ife na katika CCM vitokee kama vyama vitano hapo ndio Tanzania inaweza ikapata neema
 
Nimejaribu kukitafakari chama cha magamba nikaona kwa sasa hali yao ni ngumu sana kwenye kupata mtu wa kumsimamisha 2015. Je mnadhani kuwa Dr. Migiro (wa UN) anaweza kuja kusimamishwa kugombea urais kwa CCM? Je ataweza kusimama na Dr. Slaa?

she is good
but anna tibaijuka is better

Ni lini tutaamka Watanzania ?
Mtu unalala ukiamka ho fulani anafaa kupewa Uraisi ?
Ukiulizwa sifa gani nayo, kimyaa !
Ukiulizwa kawafanyia nini Watanzania, kimyaa !
Tuliletewa Mwinyi - sifa ? mpole ni mwenzetu !
Tukaletewa Mkapa - sifa ? mkimya hana makuu !
Tukaletewa Kikwete - sifa ? mzuri anatabasamu !
Tibaijuka - sifa ? bado tunamcheki !
Migiro - sifa ? ngoja kwanza tumtafutie !

Tuache utani, sasa ni lazima mgombea awe na historia inayoambatana na vitendo.
Historia ya kupigania haki
Historia ya kutetea usawa
Historia ya kukemea maovu
Historia ya kupinga sheria mbovu
Historia ya kuchukia rushwa
Na mengine mengi.
 
Ni lini tutaamka Watanzania ?
Mtu unalala ukiamka ho fulani anafaa kupewa Uraisi ?
Ukiulizwa sifa gani nayo, kimyaa !
Ukiulizwa kawafanyia nini Watanzania, kimyaa !
Tuliletewa Mwinyi - sifa ? mpole ni mwenzetu !
Tukaletewa Mkapa - sifa ? mkimya hana makuu !
Tukaletewa Kikwete - sifa ? mzuri anatabasamu !
Tibaijuka - sifa ? bado tunamcheki !
Migiro - sifa ? ngoja kwanza tumtafutie !

Tuache utani, sasa ni lazima mgombea awe na historia inayoambatana na vitendo.
Historia ya kupigania haki
Historia ya kutetea usawa
Historia ya kukemea maovu
Historia ya kupinga sheria mbovu
Historia ya kuchukia rushwa
Na mengine mengi.

unajaribu kusemakuwa tibaijuka hana sifa hata moja ya uongozi sio?
 
I am not sexist but ukweli ni kwamba a Tanzanian woman can not become president at the current situation.
Ngoja niwape sababu:
1. Wanawake bungeni hawafiki hata asilimia 40 na wengi wao ni wa viti maalum (kupewa)
2. Katika baraza lenye mawaziri na manaibu 50, wanawake wapo 6 tu. Hakuna mwanamke hata mmoja anaeshikilia "wizara nyeti"
3. Hakuja wahi kuwa na mwanamke hata mmoja ndani ya CCM aliewahi kuchukua form ya kugombea uraisi (kama yupo au wapo naombwa kusahihishwa. Kwa kumbukumbu zangu kumekua na mwanamke mmoja tu mgombea uraisi kupitia chama chochote.
4. Hakuja wahi kuwa na waziri mkuu mwanamke hata mmoja.
5. Anna Makinda ndiyo naibu speaker na speaker wa kwanza mwanamke Tanzania.

Kama wanawake bado hawaja aminiwa kupewa nafasi za chini kweli kuna mwanamke anaweza kupewa uraisi Tanzania? SIsemi hawapo wanawake wenye uwezo ila je ana legitimate chance ya kushinda? I could be wrong.
 
Nimejaribu kukitafakari chama cha magamba nikaona kwa sasa hali yao ni ngumu sana kwenye kupata mtu wa kumsimamisha 2015. Je mnadhani kuwa Dr. Migiro (wa UN) anaweza kuja kusimamishwa kugombea urais kwa CCM? Je ataweza kusimama na Dr. Slaa?
<br />
<br />
Itakuwa kagombea. Maadam yuko magamba hata kama katoka mbinguni hatudanganyiki.
 
Hana hata harufu ya kutetea watanzania.

Nimeiripoti hii post yako, lazima mjue kuwa hao mnaowatukana ni wazazi wa wenzenu. Nitafuatilia kuona kama Mods watachukua hatua zozote kama wakiachia hali hii nitachukua sheria mikononi kwangu.
 
Rais ajaye wa Tanzania ni lazima awe mtu anayechukia rushwa kutoka moyoni, mtu anayependa nchi yake, na mtu anayetembeal katika maneno yake! anaweza kuwa rafiki yetu kiasi kuwa vikao vyetu vya wine na nyama choma havianzi bila kuwepo yeye, lakini kama si mtu anayechukua rushwa toka moyoni huyo hatufai kamwe. Tunataka mtu anayesema nitakomesha rushwa na ubadhirifu, tukimwangalia usoni tunasema aaaaa huyu kweli anamaanisha asemacho!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kwa vigezo vp mkuu? Kumbuka huyo mama alikuwa kwenye baraza la mkuu wa kaya,hivyo anajua namna wanavyokula na kutudhulumu nchi ye2 sote. Atataka kuwalinda na kuacha mitandao ya wizi iendele kutamba. This country inahitaji kiongozi atakayevuruga huu upuuzi wanaoufanya na kujenga system upya
Point nzuri sana
 
Tanzania bado hatujampata Indira Gandhi. Tanzania bado hatujampata Golda Meir. Tanzania bado hatujampata Margaret Thatcher. Tanzania bado hatuna Angela Merkel.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Akigombea haya yafuatayo yatatokea:
  1. atamlinda bosi wake JK na bosi aliyetanguliwa WM
  2. atafunikwa na mafisadi ambao ndo wenye chama CCM
  3. akipambanishwa na magufuli, Sitta au Mwakyembe JK atakuja na ile ya Spika wa Bunge (makinda) Ili ambebe na hili likitokea basi yafutayo yatatokea

  • atakuwa msukule wa kutimiza matakwa ya aliyembeba
  • ataishiwa meno na kudharirisha pHD yake
  • atarithi usanii
HAKUNA CCM MAKINI. LAZIMA IFE ILI HESHIMA YA TZ IRUDI
 
Back
Top Bottom