Mifuko ya plastiki itatuua. Ipigwe marufuku

DUNIAPANA

Member
Nov 22, 2011
29
14
. Wauza matunda , wenye maduka,mabucha na karibu kila biashara mifuko ya plastiki inatumika. Mifuko hii ambayo haiozi inaharibu ardhi na mazingira kwa ujumla. Angalia kwenye mitaro , mifereji na madampo jinsi mifuko ya plastiki inavyotamba.

Wana jamvi mnasemaje?

 
Hii nayo ni siasa au mazingira? Anzisha kampuni ya ku recycle hiyo mifuko...utasafisha mazingira pamoja na kutajirika.
 
Back
Top Bottom