Mifuko ya akiba za wafanyakazi zafulia

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Mifuko ya akiba ya wafanyakazi za LAPF na PPF zimeishiwa pesa za kuwalipa wastaafu, na sasa kuna habari kuwa bakuli linatembeza na Mkullo serikalini kuokoa jahazi.
 
This is duplication of threads. Mods muvuzisheni hii thread kwenda kwenye nyenzake ya awali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom