Miezi miwili bila mawasiliano ameachwa?naomba ushauri

Bora ya wewe umeweka wazi umesikia yule jamaa alie kaa machimboni miaka 14 kurudi wife ana watoto 2 wa jamaa wa mitaani akatembeza rungu kwa watoto na kuwaua.

Ila hizi ndoa zina mambo, kuna mtu namfahamu mkewe ana mimba na jamaa anasema ile mimba siyo ya kwake!!! :) Mimi napata kizunguzungu nikiwaangalia!
 
na kama amezipata c angefanya ustaarabu tu kumwambia mwenzie ukweli kuliko kumsubirisha, enzi zangu nilikuwa naogopa uchumba wa ulaya, mana unaweza subiri mpaka machweo....ni wachache sana wanatimiza ahadi.
Akufukuzae akwambii toka, jifunzeni kusoma alama za nyakati.
 
Bora ya wewe umeweka wazi umesikia yule jamaa alie kaa machimboni miaka 14 kurudi wife ana watoto 2 wa jamaa wa mitaani akatembeza rungu kwa watoto na kuwaua.

cjaickia hiyo jamani...khaa! mie nasema ukweli kabisa nicngesubiri vitu vicvyo na muelekeo/mcmamo, sasa nasubiri nini wakati nafanya jitihada za kusubiri zinagonga mwaba, ningeendelea na mambo yangu, hivi kumbe wanaweza oa wakaacha wakienda ulaya ndio nitolee hiyo....sasa huko kwa wazungu ni kitu gani kinawabadili ghafla? hebu muulize huyo masanillo wa ulaya atueleze wanakumbana na nini huko mpaka wanatu engage na kutuacha solemba.
 
FirstLady1, ndugu wapo, na rafiki yangu alimuuliza shemeji yake kama anawasiliana na kakake akasema yupo ok tu, yeye akamuambia kuwa hawasiliani nami, akasema basi ataongea nae, kesho yake yule shemeji yake akamwambia rafiki yangu kuwa amesema atakupigia, hajapiga na wala hapokei akipigiwa. Mimi mwenyewe nasikia hasira sana, sijui la kusema namuonea huruma sana best wangu

kumbe majibu anayo huyo bibie

mwambie tu aingie JF kuna vijana hapa wa kumwaga ambao wako singo na true love inapatikana hapa ;)
masanilo
masaki
geoff
Fidel
Iribini ...oppps i did it again ...
Bujibuji
Klorokwini
aje achague tu kwa tani yake
 
Sasa kumbe jibu alishapewa, anadadishwa na nini? keshaachwa huyo. Sometimes lovers are like dala dala, you miss one you find another one coming down the road. Tatizo huyo dada hadatishwi na huyo jamaa, anadatishwa na ile ahadi ya kupelekwa Marekani.

na ukiona punda kapita farasi yuko nyuma yu aja
 
Ila hizi ndoa zina mambo, kuna mtu namfahamu mkewe ana mimba na jamaa anasema ile mimba siyo ya kwake!!! :) Mimi napata kizunguzungu nikiwaangalia!

ni ya nani sasa? na anaamuaje kama ana hakika sio yake?
 
Ila hizi ndoa zina mambo, kuna mtu namfahamu mkewe ana mimba na jamaa anasema ile mimba siyo ya kwake!!! :) Mimi napata kizunguzungu nikiwaangalia!

Masaki hebu sema tena !! oooh huyo mwanaume yuko sawa sawa tu na amejuaje kama kaujauzito sio kake ??
 
kumbe majibu anayo huyo bibie

mwambie tu aingie JF kuna vijana hapa wa kumwaga ambao wako singo na true love inapatikana hapa ;)
masanilo
masaki
geoff
Fidel
Iribini ...oppps i did it again ...
Bujibuji
Klorokwini
aje achague tu kwa tani yake

kweli eeeh !!:D
 
Huyo jamaa bolded hapo kapotelea wapi siku hizi? Au kaenda Haiti kusaidia wahanga wa tetemeko?
 
Jamaa alikuwa nje ya nchi muda mrefu, karudi kakuta mke ana mimba ya kama miezi minne hivi. Wakanuniana kama mwezi hivi, naona sasa hivi wamerudiana! :)

heh aliyesema mwanangu kua uyaone hakukosea !!
sijui kama huyu jamaa atakapenda katoto hako kakizaliwa
 
Jamaa alikuwa nje ya nchi muda mrefu, karudi kakuta mke ana mimba ya kama miezi minne hivi. Wakanuniana kama mwezi hivi, naona sasa hivi wamerudiana! :)

kwa makubaliano kwamba jamaa atamlea mtoto au hujajua makubaliano yao?...ngumu kidogo hiyo.
 
kwa makubaliano kwamba jamaa atamlea mtoto au hujajua makubaliano yao?...ngumu kidogo hiyo.

Kinyongo alichonacho mwanaume kinaonekana hata usoni kwake! Hana raha kabisa! That marriage is now timed bomb!
 
Mimi namshauri asikurupuke na maamuzi, avumilie kwanza kama ana njia nyingine ya kujua maendeleo yake ya huko atafute ili ajue then ndo afanye maamuzi!!! Nasema hivyo sababu narafiki yangu yalimtokea kama hayo, Alikuwa na mpenzi wake anayempenda alikuwa nje na wakawa na mawasiliano kama kawaida, ikatokea jamaa akakata mawasiliano kwa 3month binti akachoka na maumivu na huku nyumbani alikuwa na mtu anamsumbua sana kwa muda mrefu akaamua kugive up, akakubali jamaa msumbufu ampose waoane. Ndoa imekaribia jamaa wa nje akarudi kumbe alikuwa ndani(jela) na alichokuwa anafikiria na kinamuumiza akili siku zote huko alikokuwa ni mpenzi wake!!! Binti nae hakuweza kuvunja harusi ambayo wazazi wameshaghalimia sana na ndugu na jamaa wote hata huyo muoaji ambaye alishamuonyesha malove davi alimwambia walishaachana muda tu na jamaa (ilikuwa kwa hasira akijua jamaa amembitray)!!! angewaeleza nini ambacho wangemuelewa!!! Ikabidi aolewe huku akijuta!!!
Atafute kwa njia yoyote linaloendelea kwa mpenzi wake kabla hajafanya maamuzi.
 
A very good question. Au uchumba wao ni wa kuibia ibia? Halafu miaka mitatu ina maana huyo demu hapa Kibongo bongo alikuwa anavumilia kweli? I dought it!
Habari ya kuvumilia au kutovumilia hiyo story ingine, inayocount hapa ni makubaliano waliyowekeana na ahadi pia, kwani nani kasema yeye huko aliko anavumilia. halafu kama hamtaki si amwambie ukweli?
 
Back
Top Bottom