- Thread starter
- #21
FirstLady1, ndugu wapo, na rafiki yangu alimuuliza shemeji yake kama anawasiliana na kakake akasema yupo ok tu, yeye akamuambia kuwa hawasiliani nami, akasema basi ataongea nae, kesho yake yule shemeji yake akamwambia rafiki yangu kuwa amesema atakupigia, hajapiga na wala hapokei akipigiwa. Mimi mwenyewe nasikia hasira sana, sijui la kusema namuonea huruma sana best wangu