Mie Sitoishangilia Brazil World Cup!!!!

Mdondoaji

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,108
1,136
Huu ni mtazamo wangu binafsi kwamba brazil wameonyesha kiwango cha juu cha dharau na kukosa heshima uwanjani. Ijapokuwa ilikuwa ni mechi za kirafiki nimekuwa nikifatilia mechi zote mbili ya Zimbabwe na Tanzania na inaonekana wachezaji wa brazil wanajiona wao ni lulu na mnapocheza nao msiwakabe wala kuwazuia.

Kama mmewaangalia wakizuiliwa wanaanza kupiga vibao wachezaji wa timu pinzani na hilo lilionekana wazi Zimbabwe na jana pia. Vile kuna waliocheza jana walikuwa wanasema walikuwa wakitoa lugha chafu mbele yao. Sawa wao ni wachezaji wazuri na ni timu bora but mbona sio mabingwa wa soka duniani sasa???? Hata kama wao wameshinda mara nyingi haimaanishi wao ni mabingwa wa kutandika watu vibao na kuwatolea lugha chafu. Football kama ni nikimquote kocha wa ivory coast "is the game of contact" hatuchezi kidali po sasa kama hawataki kuguswa basi wangelikataa mwaliko.

Binafsi wameniboa sana na sijafurahishwa na tabia yao I am putting my money kwa Argentina, Ivory Coast, na England.
 
Halafu afadhali hivyo vibao kina Nsajigwa wangechapwa na Saint Gaucho kidogo tungeona ahueni coz jamaa ndie Mpira...

Eti kijitu kama ki Dani Alves nacho eti kinafokea na kutusi watu.
Tumeona mikina Cafu na R.Carlos wakicheza kwa adabu na heshima kwa kipindi chote.

Ni vilimbukeni na vipuuzi
 
Huu ni mtazamo wangu binafsi kwamba brazil wameonyesha kiwango cha juu cha dharau na kukosa heshima uwanjani. Ijapokuwa ilikuwa ni mechi za kirafiki nimekuwa nikifatilia mechi zote mbili ya Zimbabwe na Tanzania na inaonekana wachezaji wa brazil wanajiona wao ni lulu na mnapocheza nao msiwakabe wala kuwazuia.

Kama mmewaangalia wakizuiliwa wanaanza kupiga vibao wachezaji wa timu pinzani na hilo lilionekana wazi Zimbabwe na jana pia. Vile kuna waliocheza jana walikuwa wanasema walikuwa wakitoa lugha chafu mbele yao. Sawa wao ni wachezaji wazuri na ni timu bora but mbona sio mabingwa wa soka duniani sasa???? Hata kama wao wameshinda mara nyingi haimaanishi wao ni mabingwa wa kutandika watu vibao na kuwatolea lugha chafu. Football kama ni nikimquote kocha wa ivory coast "is the game of contact" hatuchezi kidali po sasa kama hawataki kuguswa basi wangelikataa mwaliko.

Binafsi wameniboa sana na sijafurahishwa na tabia yao I am putting my money kwa Argentina, Ivory Coast, na England.

Mwenzio niliacha kuwashabikia tangu WC ya Marekani-1994! Hasa baada ya Rivaldo kuguswa na mchezaji wa Uturuki (simkumbuki jina), na kujiangusha kama gunia! Jamaa alipewa Red Card, hivyo Uturuki kupunguzwa makali maana walikuwa wakiwapeleka puta! Baada ya hapo, Brzil wakawa ni watu wa kubebwa (kwa mtazamo wangu), hadi wakawa mabingwa!
 
hata kama n kwel......msiwalaumu. wamepewa ruhusa na serkal za tanzania na zimbabwe. Zimewalima mamilioni ya dola kuja kuwafunga tu...............lazima wafanye jeur
 
Mwenzio niliacha kuwashabikia tangu WC ya Marekani-1994! Hasa baada ya Rivaldo kuguswa na mchezaji wa Uturuki (simkumbuki jina), na kujiangusha kama gunia! Jamaa alipewa Red Card, hivyo Uturuki kupunguzwa makali maana walikuwa wakiwapeleka puta! Baada ya hapo, Brzil wakawa ni watu wa kubebwa (kwa mtazamo wangu), hadi wakawa mabingwa!

Do you know why the number one enemy to Diego Maradona is FIFA and then Brazil?
 
edwinito ilikuwa 2002 kule korea na japan,kweli dani alves anajifanya ana hasira sana,mimi toka kitambo brazil siwashangilii mwenzenu,ila nawafagilia baadhi ya wachezaji eg kaka,gilberto silva,cafu na lucio
 
Lakini nadhani Dunga anahitaji kuwafunda wachezaji tabia nzuri kwani wachezaji kama kina pele,zidane,beckham wakiwa nje ya nchi zao wanajua wao ni mabalozi wa nchi zao na hivyo basi wana dhima kuwakilisha taifa. Sasa misbehaviours kama hizi zinaquestion tabia ya timu na kusema la haki timu ya watu wasio na adabu na heshima sioni umuhimu wa kuishangilia
 
ofcoz sitashingilia brazil hii inayocheza counter attaching footabll, wao kama wanajiona watu wa vipaji, wanatakiwa waendelee na philosophy ya total football na kuwaachia counter attacking football kwa nchi ndogo, sasa ivi ni spain na holland ndio zinacheza total football and to them is where i will put my money! na ujeuri wa dunga wa kumwacha dinho ndio kabisaa wapite mbali, dinho is the icon, the legend, dunga is making a fool of himself by leaving dinho and pick craps like grafite and gilberto!
 
U guyz are jokers..sasa kwani Brazil waliwaomba muwashangilie? si ni kiherehere chenu na cha serikali yenu ya majokers ndio inawashobokea? Sijaona causative yeyote hapo kwa Wabrazil..Wao wamelipwa hela kucheza, wamemaliza contract yao mbele kwa mbele..ndio ntolee hiyo..Wajinga wameliwa mchezo umekwisha.

Hata hivo yule mchezaji aliyemparamia Alves miguu miwili, kaa ingekuwa mie Alves ningemtegua kiuno kabisa achilia mbali kumpiga kibao. Kibao kitu gani ukilinganisha senseless tackling ambayo ingeweza simply kuwa leg breaking ?
 
Na kule Zimbabwe je alipomnasa yule beki wa kulia wa Zimbabwe nayo nini??? To be honest hawa jamaa wanadharau na mie siwafagilii I will be very happy wakitolewa siwapendi!!!
 
Back
Top Bottom