Mie ndo mwanaume

somba kankara

Member
May 6, 2012
84
13
Jamaa mmoja alikuwa anakwenda polini kuchanja kuni mambo yalikuwa hivi
Jamaa; mkewangu niandalie shoka langu
Mama; haya[kaandaa akampatia jamaa kaweka kwenye kikwapa]
Jamaa; akitengeneza ka bangi huku kashoka kakiwa kwapani kaanza kuondoka
Jamaa; kafika njiani akaanza kujiuliza hivi mkewangu alinipatia kweli shoka? hapana
jamaa; akaamua kurudi huku amekasilika we!! nilikuambia unipatie shoka langu ukaniona mjinga si ndio
Mama; hapana nimekupatia
jamaa; hivi we mwanamke nitakupiga[shoka ikaanguka toka kikwapani]
jamaa nitakuua mimi[kwa aibu akaiokota na kuondoka]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom