Mie nimekubaliana na makala hii asilimia 100% hebu nawe isome then utoe mchango wako wa kutoka moyoni. mie ni mwana CCM tangu high school ila linapofika swala la kusema ukweli ni bora niwe wazi.
=========================
Chanzo: Raia mwema.
Maneno meeengi, kilchomo swaga zile zile za kila siku, haya tuambie Ulitaka Kikwete aifanye Tanzania iwe kama marekani au ufaransa au Ujerumani kwa miaka hiyo 10?
F*ck Kikwete ndg na marafk zake kwa wasivyoupenda umma wote wa raia 40M...go to hell
Nmesikia kaenda kufungua daraja wkt magufuli yupo ndo maan hawataki katiba mpya ya UKAWA kisa rais atapunguziwa madaraka sasa ona anayofanya tatizo ni udkt wa kupewa bila kusomea....
Mkuu.
Matatizo anayafahamu kwa 100% tena yote. Amezaliwa tanzania Lugoba-msoga kama sijakosea na amekulia hapahapa TZ
Hana uwezo wa kimkakati kuyatatua, uwezo wake nikuhudhuria mazishi, muziki, na safari za nje.
kifikra nakufanya maamuzi ni zaidi ya 0%. Sijajuwa ccm walitumia vigezogani kumpatia kijiti huyu bwana. Mkapa anastahili
kuhukumiwa kwa kwamwachia nchi mzurulaji na asiefahamu majukum yake.
Kaka ni kweli,kuna kisima mkuu alikuja kuzindua huku kwetu,kilikuwa na thamani ya mil 30!gharama ya msafara wake ilikuwa mil 25!
Nonsense kabisa
- Eti UKAWA yenye WAbunge 2 wa CUF kutoka Lindi na Wabunge 4 wa NCCR tokeo Kigoma, na Chadema wabunge 46 kutokea Kaskazini ndio wanawawakilisha Tanzania nzima wananchi? ha1 ha! ha!
Le Mutuz
Mkapa atuambie,alitumia vigezo gani kumpa kikwete kuwa mgombea wa urais?
Mkapa atuambie,alitumia vigezo gani kumpa kikwete kuwa mgombea wa urais?