Taribo
Member
- Dec 23, 2011
- 89
- 84
mambo vp wana my name is joddy jordan Bezalell aka(taribo) NI mgeni wenu humu so tutakuwa pamoko...ok wananiita taribo tangu nipo shule coz nlikuwa beki mzuri wakati tunasoma na nlikuwa napa chaki cha kijani kichwani ili nifanane na taribo west...kwa wale mnaojua au kupenda mpira mtakuwa mmeshamjua Taribo west alikuwa beki wa nigeria...pamoja rrrraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhh!:lol::lol::lol::lol::lol::lol: