Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

Kuzipaka huo wino wako ndio kuchakachuwa? wewe mshamba kweli, hata hujui kuhusu different angles za kamera?

Na tv live jana, michuzi alizichakachuwa?
 
Mnachunganya tu wengine ambao hatukwenda jangwani wala kuona kwenye Runinga. Wekeni basi hizo picha ambazo ni sahihi. Ambazo ni za leo na si za 2010. Wekeni ambazo hazijachakachuliwa. Yaani mtu unazungushia fulana iliyoandikwa 2010 unataka tuamini kwamba hao walikuwa kwenye mkutano wa kampeni 2010! Kwa hiyo watu hawavai fulani wala kofia za 2010 za CCM? Mbona uswabilini kwangu wengine wanatumia hizo fulana kuendea makanisani.

Sina picha, ila nilipita jangwani. Wao-em wlikuwa wamekaa kwenye viti na walipangwa ki-utaratibu wa wanakotoka sijui ni matawi and what nots. Pia, kilikuwa na nafasi kubwa sana kati ya jukwaa na umati.

Japo hatuoni picha mbadala, ukweli ndio huo. Ukiwa unafahamu mambo ya Photoshop utaelewa na ukizingalia sehemu zilizonngushiwa alama nyekundu na kuunganishwa, utaona dhahiri madudu na uchakachuaji.

This was too low by Michuzi...
 
Mnakazi kweli kweli, mnaambiwa leteni mlizonazo original mnazidi kuleta ujinga wenu,msituletee visa vya kuabudu mapicha, hawa ni watu real si vivuli hivyo? Mchukueni rais wenu kivuli na vivuli vyenu mkatawale nchi ya kusadikika na rais wenu vivuli.
 
Hahahaaaa inafurahisha sana unapoona mwizi anakurupushwa kisha anaanza kusingizia viatu vinateleza, mwisho anakamatwa, anaanza kupiga kelele mbona hata juma aliiba jana???!!!! Anasahau MSHIKWA NA NGOZI....CDM HAWATAKI KUKUBALI KUWA CCM JANA WAMEFUNIKA BOVU JANGWANI ,WAMEAMUA KUZUSHA YAFUATAYO;
1. Watu walibebwa na malori na mabasi hivyo mkutano sio halali..... HIVI KUNA MTU ALIKAMATWA KWA NGUVU KUPANDA HAYO MALORI NA MABASI.?KAMA WALIPANDA WENYEWE WAKAFIKA MPAKA JANGWANI NA KUKAA MPAKA MWISHO, TATIZO NI NINI?LAKINI KWANINI TUFANANISHE UJAJI WA WANACHAMA WA CHAMA CHA HARAKATI MKUTANONI NA ULE WA CHAMA TAWALA?!! ETI WOTE WAJE KWA MGUU!!! This is mufilisi!!!

2. Oohh kuna uchakachuaji wa picha....!!! MAANA YAKE HATA MITANDAO YAO IMECHAKACHUA PICHA?!!!SASA KMA MPAKAMITANDAO YA CDM INACHAKACHUA PICHA KUWABEBA CCM BADO MNACHAMA?!!! KUENDELEA KUBWAWAJA NI KUJIVUA NGUO ZAIDI SHUT UP GUYS!!!
 
You dont need to be graphic designer kuona usanii uliofanywa hapa. Picha ya kwanza ukiangalia kwa makini utaona kuna makundi mawili. Kundi la nyuma kabisa watu wanangalia 'direction nyingine' na kundi hili la pili. Au walikuwa na majukwaa mawili?

Lakini pia, colour/mpauko wake ni toafuti. Kule nyuma kunaonekana watu wako kwenye jua kali zaidi ya hawa wa mbele. Yote hii ya nini? Unamdanganya nani?

Kaka hao tunawazika 2015 usihofu kwani kuku wa kwetu wenyewe manati ya nini?
 
CHANDIMU MNA ROHO NGUMU SANA!! Yaani mkutano uliorushwa LiVE tena na TV mbili, moja yenu nyengine yao CCM bado mnalazimisha watu waamini picha zimechakachuliwa????!!! Aaaah! sasa mmezidi uongo jamani mwisho hamtaaminika kwa lolote. Kifupi nilikuwepo uwanjani wakati picha ya mawaziri wanaongea inapigwa, watu walikuwa wamekaa , wakati Nape anapigwa picha walifurika pale mbele kurudisha kadi za CDM, na kwa kumbukumbu zangu walirudisha zaidi ya 342 kadi, inatisha moto wa mabua wa cdm kuzimwa kwa mkutano wa masaa mawili.
 
Sawa mkuu tumekubali jana mlijaza uwanja, sasa tutazame upande wa pili wa shilingi, tulitegemea mje na sera murua zitakazorudisha mapenzi kwa wanachama wenu, mbona mipasho ni ile ile. Mkuu naona upo gizani hebu toka nje kidogo uione nuru.
 
hata hvy cdm wasijidanganye na kigezo cha kujaza watu,, wanaweza kuongoza?
 
usitake ncheke Gizakuu! Hapa mtaani tawi letu la chama kulikuwa na gari la kutupeleka jangwani limelipiwa na makao makuu hakuna mtu kapanda bila kupewa hela na tshirt,kanga na kofia! Kwa ujumla tumelipwa kuudhuria mkutano. Na imekuwa desturi watu hawaendi mpaka wapewe hela.
Nakuhakikishia bila kufanya hivyo mkutano ungekuwa na viongozi tu wa chama.
 
Hahahaaaa inafurahisha sana unapoona mwizi anakurupushwa kisha anaanza kusingizia viatu vinateleza, mwisho anakamatwa, anaanza kupiga kelele mbona hata juma aliiba jana???!!!! Anasahau MSHIKWA NA NGOZI....CDM HAWATAKI KUKUBALI KUWA CCM JANA WAMEFUNIKA BOVU JANGWANI ,WAMEAMUA KUZUSHA YAFUATAYO;
1. Watu walibebwa na malori na mabasi hivyo mkutano sio halali..... HIVI KUNA MTU ALIKAMATWA KWA NGUVU KUPANDA HAYO MALORI NA MABASI.?KAMA WALIPANDA WENYEWE WAKAFIKA MPAKA JANGWANI NA KUKAA MPAKA MWISHO, TATIZO NI NINI?LAKINI KWANINI TUFANANISHE UJAJI WA WANACHAMA WA CHAMA CHA HARAKATI MKUTANONI NA ULE WA CHAMA TAWALA?!! ETI WOTE WAJE KWA MGUU!!! This is mufilisi!!!

2. Oohh kuna uchakachuaji wa picha....!!! MAANA YAKE HATA MITANDAO YAO IMECHAKACHUA PICHA?!!!SASA KMA MPAKAMITANDAO YA CDM INACHAKACHUA PICHA KUWABEBA CCM BADO MNACHAMA?!!! KUENDELEA KUBWAWAJA NI KUJIVUA NGUO ZAIDI SHUT UP GUYS!!!
Huu ni ushabiki wa kipumbavu, hatakama watanzania wote wangejaa pale Jangwani,bado swali la msingi linabaki palepale, je matatizo ya uchumi wa nchi na ugumu wa maisha ya wananchi wa Tanzania yalitatuliwa? Wewe mwenyewe mleta mada hii, ulinufaikaje na umati wa watu Jangwani? Hiyo fulana ya njano uliyopewa uvae jana ilitatua matatizo ya mfumko wa bei?
 
CCM Mabwe Pande haikubaliki, watu wanateseka na kuishi maisha ya dhiki na taabu, walituahidi kutujengea nyumba, jana wameturuka. Ni nani mwenye hamu na CCM?
Hilo gari halijatokea Mabwepande, wamedanganya umma
ccm.JPG
 
hata hvy cdm wasijidanganye na kigezo cha kujaza watu,, wanaweza kuongoza?
Wanao weza kuongoza ni akina nani? wale wanaokwenda China kununua sare za ATCL kwa mabilioni, wanao agiza mitambo mibovu ya kufua umeme, Richmond, meremeta, Deep Green, wala rushwa, wafuja fedha za halmashauri.................,
 
Sijui leo imetokea nini nikaenda kubrowse kwa michuzi maana huwa siendi
nilichokuta sikutegemea mtu na professional yake ya mtaan ya kupiga picha
anadiliki kuchakachua hizi picha

Bro Michuzi unachakachua kwa manufaa ya nani? Njaa mbaya


Mod naomba mnisadia kuattach vizuri ikiwa zimekaa vibaya
Amechakachua nini?? zile picha kwenye michuzi alipiga mapema watu wakiwa ndio wanaingia, hawakuwa wengi kivile, ila baadaye ndio wakaja wengine wengi.
 
PICHA NYINGINE HIZI HAPA

Wasira akihutubia mbele hakuna watu ( kuna open space)

Anna Tibaijuka wakati anahutubia mbele pako wazi

NApe OPEN SPACE IMEKUWA FILLED

WHAT SHAME MISUPU MISUPU.....................

Nasikitika sanaa sana kwa uelewa ulivyo finyu wa watz wenzangu,hii kwa kweli ni tatizo sana nashindwa kujua serikali inanye nini ili kuweza kufanya IQ ya watz kukua,mtu anashindwa ktofautisha tu picha iliyochukuliwa karibu,iliyochukuliwa mbali na iliyochukuliwa kwenye direction tofauti.
Hii kwa kweli ni tatizo,chadema hatukikatai ila bado hakijaiva kuongoza serikali chama kina kama watu watatu wenye akili ukimtoa slaa ameshachoka,kuna atleast mnyika,prof baregu na Dr.safari.jaman mbowe unaweza kumpa hata wizara kweli?
Naomba tubadilike hasa kwa kukuza IQ thats why jaribu kucheki hata hapa nchin CEO wa kampuni ya kigen,wa TZ ni wangapi na foreigner ni wangapi?au hili nalo ni tatizo la ccm? we cannot compete and deliver kazi ni majungu na kuiba.
Tunataka kuwa matajiri kwa kutumia ofisi in two years,hebu tubadilike na tuwe na uwezo wa kuchanganua mambo kisawasawa,CCM imeguarantee piece and everything is there kila sehemu ni opportunity bado tunalaumu,hebu nenden kenya muone,kila kitu hadi ardhi inamilikiwa na matajiri tu,jaman tubadilike tufanye kazi kwa bidiii tuache majungu na uchochezi.
 
Back
Top Bottom