Michubuko baada ya kula chumvi

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Nina tatizo moja kila nikizama chumvini kesho yake Napata mchubuko chini ya fizi….hii inatokana na nini? Au chumvi inazidigi?
 
Nina tatizo moja kila nikizama chumvini kesho yake Napata mchubuko chini ya fizi….hii inatokana na nini? Au chumvi inazidigi?

labda huko chumvini kuna fungus au kuna infection, pangekuwa salama sidhani kama hayo yangekukuta... jaribu kushauri mmiliki akacheki kama kuna infection
 
Ingawa kuna bad bacterias lakini pia kuna good bacterias ambao wanapatikana pia kwenye youghort (mtindi)....

A healthy vagina is as clean and pure as a carton of yoghurt...

healthy vagina is a self regulating system and is cleaner than our mouths and much much cleaner than our rectums. The vaginal ecosystem is a mutually advantageous relationship between the vagina itself and the micro-organisms that inhabit it.

Naomba uprint haya maelezo alafu muonyeshe muhusika mdanganye kwamba hii message imekuja kwenye email spam yako Keeping your vagina healthy
 
MMMH YOYO BANA!sio kila chumvi ni chumvi na si kila sukari ni Asali or in simple equition Honey =honey not honey =sweet.
 
Ingawa kuna bad bacterias lakini pia kuna good bacterias ambao wanapatikana kwenye youghort (mtindi)....

Naomba uprint haya maelezo alafu muonyeshe muhusika mdanganye kwamba hii message imekuja kwenye email spam yako Keeping your vagina healthy
thanks you so much.....analalamika anawashwa washwa mara kwa mara....hivi vyoo vya public maofisini soo sometimes
 
uko sawia sheikh wa kwa mtoro

Niko poa jana nilikuwa namzingua yule msandawe msanii mwenye kuleta vituko lakini vya kwao Kwamtoro hatuletei amini usiamini nimepita twice more than ten years a go mara moja na gari ndogo naenda singida na mara ya pili na basi nikienda kondoa. Ila yule niliemtajia ni kweli kwao kwamtoro.

Mimi kwetu tanga mapenzi yalipozaliwa ukifika pale stendi ya ngamiani ukimuuliza hata kichaa aliefungwa kamba "kwa shossi" wapi atakuleta mpka nyumbani. Karibu sana.
 
Ok nilidhani ndio kwenu huko,T.A ndio kwetu ja,mani utanikaribishaje kwetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom