michezo mingine mhhh

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,020
michezo mingine.jpg sasa hapa kina dada wanacheza mchezo gani huuu jamani
 
Nafikiri wanakanyagana na kukomazana nanilii

Huwa inakomaa sana hasa kwa wale wanawake wanaoendesha baiskeli kwa muda mrefu. Mabinti wanatakiwa kukwepa sana kuendesha baiskeli ili zisije zikaondoa bikra zao-ushauri tu!
 
Wanajaribu kumnyanyua mwenzao juu. Hou mkono umezungushwa kwa nyuma ili kurahisisha kumbeba.
 
Wananyanyuana kwa hapo maana ndio katikati ya kiwiliwili,au unadnani wao wanafikiria zaidi ya zoezi lao??wanaona kiungo kilichoko hapo ni kama tuu viungo vingine vya mwili.
 
Back
Top Bottom