Michezo mengine banaaa...

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Hii ni kule Spain. Hata sijui raha yake ni nini maana ni kutafuta kifo tu.

_53909676_53909675.jpg
 
Kaka kila kitu kina asili yake na raha yake kutokana na mazingira yanayokuzunguka. Mimi na wewe tunaweza tusione utamu wa huo mchezo lkn wa spaniola wanaupenda sana tuu
 
Kaka kila kitu kina asili yake na raha yake kutokana na mazingira yanayokuzunguka. Mimi na wewe tunaweza tusione utamu wa huo mchezo lkn wa spaniola wanaupenda sana tuu

Huu sio mchezo (sport) bali ni sherehe za kidini (religious festival) katika kuadhimisha ushahidi (martyrdom) ya Mtakatifu (Saint) Fermin (San Fermin) ambaye alikatwa kichwa kule Amiens, Ufaransa ya Kaskazini. Huyu Saint Fermin anahesabiwa kwamba ni Mtakatifu na shahidi na Kanisa Katoliki (Catholic Church). Kwahiyo labda huu ni mchezo wa wakatoliki !!!

Kule Pamploma, Spain, ambako kunafanyika huu upunguani kila mwaka wanaamini kwamba Saint Fermin yalimfika mauiti/ushahidi yake/wake (martyrdom) kwa adhabu ya kuteswa na kukokotwa/kuburuzwa katika mitaa ya mji wao wa Pamploma na ngo'mbe (Bull). Hivyo wanasherehekea (commemorate) Saint Fermin martyrdom by putting themselves in this danger of being gored to death or seriously injured by the Bull, labda pengine anaekufa katika hili nae anakuwa martyr, labda wakatoliki wa kwetu wapate habari kutoka kwa ndugu zao wa Spain ili watuelimishe na sisi

What a belief !!! definitely not a sport
 
Dah ila mzee hiyo Ng'ombe inaonekana ni mbabe kinoooma yaani, cheki mkwara wake wa kusimamia miguu miwili hahahahaha
kapelekwa shule kafundishwa kafundishika, huyu ng'ombe anaweza kumzidi hata mwanafunzi wa kitanzania anaesoma shule za kata.
 
Mimi huwa napenda kuangalia michezo hiyo, ila naona ni hatari sana kwa wachezaji kwani wakati mwingine wanakanyagwa vibaya sana na hao wanyama sasa sijui inakuwa ni ajali kazini/michezoni au vipi
 
jamani huu mchezo ni wa kawaida kabisa na hauna madhara makubwa. Mbona huwa tunafanya ule mchezo wa kitandani na watu tusiowajua historia zao, na bado hatuogopi ukimwi ambao mwisho wake ni kifo? Let them play!
 
Huu sio mchezo (sport) bali ni sherehe za kidini (religious festival) katika kuadhimisha ushahidi (martyrdom) ya Mtakatifu (Saint) Fermin (San Fermin) ambaye alikatwa kichwa kule Amiens, Ufaransa ya Kaskazini. Huyu Saint Fermin anahesabiwa kwamba ni Mtakatifu na shahidi na Kanisa Katoliki (Catholic Church). Kwahiyo labda huu ni mchezo wa wakatoliki !!!

Kule Pamploma, Spain, ambako kunafanyika huu upunguani kila mwaka wanaamini kwamba Saint Fermin yalimfika mauiti/ushahidi yake/wake (martyrdom) kwa adhabu ya kuteswa na kukokotwa/kuburuzwa katika mitaa ya mji wao wa Pamploma na ngo'mbe (Bull). Hivyo wanasherehekea (commemorate) Saint Fermin martyrdom by putting themselves in this danger of being gored to death or seriously injured by the Bull, labda pengine anaekufa katika hili nae anakuwa martyr, labda wakatoliki wa kwetu wapate habari kutoka kwa ndugu zao wa Spain ili watuelimishe na sisi

What a belief !!! definitely not a sport
Hapana baana. Bull fighting ni mchezo unaopenda na Waspaniad na watu wa Amerka ya Kusini wenye asili ya Spain. Wale wanaowachokoza hao ng'ombe kwa kuwachoma mikuki huitwa matadoes.
 
Hawa wanamjaribu sana mungu wao, hili dude likikutwanga kapona kwako ni mashaka!
 
Yes, "bull fighting" is a sport. It is played by professionals and has rules to govern the sport although it is still dangerous. Is this the case here? are those people all professionals? or anyone is wellcome? Yes there are some rules there but are set just to increase adrenaline rush, excitement and risks. Two of its rules are:
1. No one is allowed to hide in corners, dead angles or doorways before the bull is let loose
2. All houses in those streets must keep their doors locked

Hata wewe ukitaka unaweza kwenda, are you professional bull fighter?
 
Back
Top Bottom