Michezo inahitaji watu wajanja wajanja tu?

Mwanakanenge

Member
Nov 25, 2012
75
16
Katika sekta ya michezo nchini imekumbwa na kasumba/utamaduni wa kutoheshimu taaluma au weledi wa watu katika michezo, hapa nazungumzia vyama vya michezo,v ilabu kwa ujumla wake.

Ikitokea mtu mwenye taaluma yupo kwenye chama cha mchezo au klabu yoyote mtu huyo hatadumu atapigwa vita ya kila aina ili atoke awaachie wajanja wajanja waendelee kufanya yale wanayoyataka.

Ili tuweze kuendelea katika michezo ubabaishaji, kutothamini watu wenye weledi ni mambo ya msingi katika kuzingatia na kuwaweka kando hawa watu wajanja wajanja
 
Back
Top Bottom