Michelle.........

Nia ninayo,tatizo hashycool ni graduate shingshonghung school of karate,nitasalimika kweli nikiingia anga zake?
As of Eliza wa Tegeta well niseme nini ? Sana sana Mwanakijiji kasababisha nirudi CCM.
Hahahaaa so unaogopa kichapo.....teh
Dah ngoja basi tukusaidie kumtafuta ila sasa itabidi usimfanyie km ulofanya kwa E wa T maana nayeye atatafuta small house bila kujali umemnunulia Rav 4
 
Michelle aliingia anga zangu, nikamfukuza jamvini.
Eti alitaka kushare na mimi, nikamwambia nani????

Nimemvimbisha manyonyo yuko Sumbawanga anatibiwa.
 
E wa T, kiboko ya Byshernger.

Ila bepari naye kazidi kufakamia hawa viepe dume, hatuwezi sie wa kempkisky.

Hahahaaa so unaogopa kichapo.....teh
Dah ngoja basi tukusaidie kumtafuta ila sasa itabidi usimfanyie km ulofanya kwa E wa T maana nayeye atatafuta small house bila kujali umemnunulia Rav 4
 
E wa T, kiboko ya Byshernger.

Ila bepari naye kazidi kufakamia hawa viepe dume, hatuwezi sie wa kempkisky.
Teh ndo maana kaamua kuja na kuomba msaada eti E wa T anampasua kichwa wakati nahisi yeye ndo asua kichwa halafu anaingilia sana ndoa ya Nitty sijui anataka kumpindua kwa SL
 
Nia ninayo,tatizo hashycool ni graduate shingshonghung school of karate,nitasalimika kweli nikiingia anga zake?
As of Eliza wa Tegeta well niseme nini ? Sana sana Mwanakijiji kasababisha nirudi CCM.
Hii couple ya E wa T na Mwanakijiji mbona siilewi. Wote wanajua kua ni couple au ndio yale ya mtu kutangazwa ni mume wakati hajui ana mke?
 
Hapa ni kwamba Bishanga anampa kashfa E wa T ili aonekane kahamia kwa Mwanakijiji ili apate ruksa ya kuwa na Michelle ila ukweli mwanakijiji hajui lolote
 
Ushaliwa kwa MMJ kama ndo ilikuwa yako.
Mie jana kwenye kapo mpya nilikuwa nachunga sana mtu asimtaje naniliyu.

ule mzimu wangu ungewuwa mtu.
Pole kama wamekukwapulia.

Hehehehe nilikuona ulivyokua umekaa kijeshi!!!Ingekua soo.

Naaah. . .hata sio. Ila najaribu kujiuliza lini walikubaliana nakosa jibu, rahisi kuamini ni kwamba mmoja anapenda japo mwenzie hajui.
 
Hee kwani si walikutaja Konny na Lizy au hamkuona?
 
Hapa ni kwamba Bishanga anampa kashfa E wa T ili aonekane kahamia kwa Mwanakijiji ili apate ruksa ya kuwa na Michelle ila ukweli mwanakijiji hajui lolote

Ahhhhhh. . .
Hapo sasa nimeelewa. Ila mbona nae E wa T nilimwona akikampenia hiyo kapo? Au wana kamchezo kao na Byshainga?
 
itakuwa E wa T kawa proposed ndotoni, sasa anashindwa kukubali ilikuwa ndoto.

Ha ha , why nisiwuwe, nimemkuta hapa anashangaa, nikamkwapua, akawa King afu ndo nikwapuliwe???

Nitapigana vita vya maji maji.

Hehehehe nilikuona ulivyokua umekaa kijeshi!!!Ingekua soo.

Naaah. . .hata sio. Ila najaribu kujiuliza lini walikubaliana nakosa jibu, rahisi kuamini ni kwamba mmoja anapenda japo mwenzie hajui.
 
hujui????

Si ndo maana hashycool alivyoroka kwenda vitani afganistan, nikampa hifadhi kwangu na wanae.

Akaanza kutaka kunipindua, nilimkimbiza amfuate hashy huko huko vitani.

Ila wako salama tu.

Nimekuja na gunia zima muone SL hivi kumbe harshycool na michelle ni couples?
 
We unachelewa kuvuna senene mwenzako(Bishanga) kashakuzunguka.....km unabisha watafute yeye na SL kama utawapata....
 
itakuwa E wa T kawa proposed ndotoni, sasa anashindwa kukubali ilikuwa ndoto.

Ha ha , why nisiwuwe, nimemkuta hapa anashangaa, nikamkwapua, akawa King afu ndo nikwapuliwe???

Nitapigana vita vya maji maji.
Hahahahaha!!INAWEZEKANA.

Hehehehehe. . . siunajua wengine akishakua wa mtu ndio wanamuona mtu. Sema bahati nzuri hamna aliyethubutu hata kujipendekeza.
 
We unachelewa kuvuna senene mwenzako(Bishanga) kashakuzunguka.....km unabisha watafute yeye na SL kama utawapata....

Acha unafiki wako hujui kama bishanga ni my broda hawezi nifanyia hivi halafu wewe mbona ndoa yako inayumba?
 
Hahahahaha!!INAWEZEKANA.

Hehehehehe. . . siunajua wengine akishakua wa mtu ndio wanamuona mtu. Sema bahati nzuri hamna aliyethubutu hata kujipendekeza.

Mamaa Lizzy long time to see you just call me nitty
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom